Wanajeshi wa UN wapambana na waasi DRC
Wanajeshi wa UN wameanza kupambana na waasi wa Kihutu kutoka Rwanda pamoja na makundi mengine ya waasi Mashariki mwa DRC
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Waasi wapambana na wanajeshi Yemen
Serikali ya Yemen imeafikia makubaliano na kundi la waasi wa Houthi baada ya masaa kadha ya mapigano makali kwenye ikulu ya rais.
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Waasi na jeshi wapambana,Sudan Kusin
Kikosi cha waasi Sudan Kusini na majeshi ya serikali wamepambana kuwania kumiliki mji wa Malakal
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Wanajeshi wa Chad, Boko Haram,wapambana
Wanajeshi wa Chad wapambana na Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa Nigeria
11 years ago
BBCSwahili15 Jun
Wanajeshi wa Pakistan wawavamia waasi
Maafisa kazkazini Magharibi mwa Pakistan wamesema kuwa ndege za kijeshi za serikali zimefanya mashambulizi ya angani.
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Wanajeshi wawaua waasi waliojisalimisha
Wakaazi nchini Burundi wameiambia BBC kwamba walishuhudia wanajeshi wa serikali wakiwaua waasi waliojisalimisha.
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Wanajeshi waasi warejea kazini CAR
Wengi walioasi walikuwa Wakristo waliohofia kushambuliwa na wenzao waisilamu baada ya mapinduzi yaliyoongozwa na waasi wa Seleka.
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Wanajeshi waasi jeshi Sudan Kusini
Kinara wa serikali Tulklio Odongi aliambia bunge siku ya Jumatatu kuwa hadi 70% ya wanajeshi wa serikali wanageuka na kuwa watiifu kwa Riek Machar pamoja na kuasi jeshi.
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Waasi wa ADF washambulia DRC
Jeshi la DRC linasema kuwa watu 26 wameuawa nchini humo katika shambulizi liliofanywa mjini Beni na waasi wa ADF.
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Majeshi ya DRC yapambana na waasi
Vikosi vya Jeshi la jamhuri ya kidemokrasia ya kongo vinaudhibiti mji wa Abya ulioko kaskazini mashariki mwa mji wa Beni .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania