Waasi na jeshi wapambana,Sudan Kusin
Kikosi cha waasi Sudan Kusini na majeshi ya serikali wamepambana kuwania kumiliki mji wa Malakal
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Wanajeshi waasi jeshi Sudan Kusini
Kinara wa serikali Tulklio Odongi aliambia bunge siku ya Jumatatu kuwa hadi 70% ya wanajeshi wa serikali wanageuka na kuwa watiifu kwa Riek Machar pamoja na kuasi jeshi.
10 years ago
VijimamboAZAM FC YAICHAPA 2-0 MALAIKA YA SUDAN KUSIN
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Waasi wapambana na wanajeshi Yemen
Serikali ya Yemen imeafikia makubaliano na kundi la waasi wa Houthi baada ya masaa kadha ya mapigano makali kwenye ikulu ya rais.
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanajeshi wa UN wapambana na waasi DRC
Wanajeshi wa UN wameanza kupambana na waasi wa Kihutu kutoka Rwanda pamoja na makundi mengine ya waasi Mashariki mwa DRC
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Al qaeda na jeshi la Yemen, wapambana
wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapigano na vikosi vya serikali kaskazini mwa jimbo la Abyan.
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Jeshi lapambana na waasi Lubumbashi
Takriban watu 26 waliuawa Jumanne katika mapigano kati ya wanajeshi wa serikali na waasi katika mji wa Lubumbashi nchini DRC.
11 years ago
BBCSwahili16 Jan
Jeshi la UG vitani na waasi S.Kusini
Uganda imekiri kupambana na waasi hao wanaoongozwa na makamu wa rais wa zamani Riek Machar tangu mwanzoni mwa wiki hii
10 years ago
BBCSwahili26 Mar
Jeshi la Saudia lashambulia waasi, Yemen
Saud Arabia imeanza operesheni zake za kijeshi nchini Yemen, ikiwa ni kujibu ombi la Rais wa nchi hiyo Abd Rabbuh Mansour Hadi.
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Jeshi la DRC lawakamata waasi 182
Harakati za kuifurusha kundi la wapiganaji wa FDLR imeshika kasi majeshi ya DRC ikidaiimewashika wapigani 182 na silaha zao
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania