Waasi wapambana na wanajeshi Yemen
Serikali ya Yemen imeafikia makubaliano na kundi la waasi wa Houthi baada ya masaa kadha ya mapigano makali kwenye ikulu ya rais.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanajeshi wa UN wapambana na waasi DRC
Wanajeshi wa UN wameanza kupambana na waasi wa Kihutu kutoka Rwanda pamoja na makundi mengine ya waasi Mashariki mwa DRC
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Al qaeda na jeshi la Yemen, wapambana
wapiganaji wa kundi la al-Qaeda wamewaua watu sita katika mapigano na vikosi vya serikali kaskazini mwa jimbo la Abyan.
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Waasi na jeshi wapambana,Sudan Kusin
Kikosi cha waasi Sudan Kusini na majeshi ya serikali wamepambana kuwania kumiliki mji wa Malakal
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Wanajeshi wa Chad, Boko Haram,wapambana
Wanajeshi wa Chad wapambana na Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa Nigeria
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Ngome ya waasi yashambuliwa Yemen
Ndege za kivita mapema leo zilishambulia ngome ya waasi wa Houthi karibu na Ikulu ya Rais wa Yemen mjini Sanaa.
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Waasi Yemen kuacha mapigano?
Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema waasi wa Yemen wamekubali kuacha mapigano.
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Yemen yakabiliana na waasi wa Houthi
Wanajeshi wa serikali wameanzisha mashambulio makali yenye lengo la kuwafurusha waasi wa Kihouthi kutoka eneo moja lililokuwa kituo cha wanajeshi wa anga huko mjini Aden.
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Waasi wa Houthi wachukua serikali Yemen
Waasi wa Shia wametangaza kutwaa uongozi wa kisiasa nchini Yemen,
10 years ago
BBCSwahili19 May
Yemen:Serikali yapinga mazungumzo na waasi
Serikali ya Yemen iliyoko uhamishoni, haitakubali kufanya mazungumzo ya amani na wanamgambo wa Houthi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania