Waasi Yemen kuacha mapigano?
Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema waasi wa Yemen wamekubali kuacha mapigano.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Jul
Mapigano mapya yaripotiwa Yemen
Kuna ripoti za mapigano mapya nchini Yemen muda mfupi baada ya usitishwaji mapigano wa saa sita kuanza kutekelezwa.
10 years ago
BBCSwahili20 Apr
Houthi kuendeleza mapigano,Yemen
Kiongozi wa waasi wa Houthi nchini Yemen wameituhumu Saudi Arabia kwa kutaka kuchukua taifa lao.
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Mapigano makali yashuhudiwa Yemen
Mapigano makali yanashuhudiwa nje na ndani ya uwanja wa ndege katika mji wa Aden nchini Yemen.
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Mapigano makali yaendelea Yemen
Mapigano yameendelea katika mji wa Aden nchini Yemen, wakati waasi wa Houthi wakijaribu kutwaa udhibiti wa mji huo
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Waasi na serikali kusitisha mapigano Syria
Umoja wa mataifa unasema pande zinazozana mjini Homs nchini Syria zimeafikiana kuongeza muda wa kusitisha mapigano kwa siku tatu
10 years ago
BBCSwahili01 May
Ban Moon asikitishwa na mapigano Yemen
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea tahadhari yake kuhusiana na hatari ya raia kuendelea kupigana, Nchini Yemen.
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Ngome ya waasi yashambuliwa Yemen
Ndege za kivita mapema leo zilishambulia ngome ya waasi wa Houthi karibu na Ikulu ya Rais wa Yemen mjini Sanaa.
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Waasi wapambana na wanajeshi Yemen
Serikali ya Yemen imeafikia makubaliano na kundi la waasi wa Houthi baada ya masaa kadha ya mapigano makali kwenye ikulu ya rais.
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Yemen yakabiliana na waasi wa Houthi
Wanajeshi wa serikali wameanzisha mashambulio makali yenye lengo la kuwafurusha waasi wa Kihouthi kutoka eneo moja lililokuwa kituo cha wanajeshi wa anga huko mjini Aden.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania