Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waasi na serikali kusitisha mapigano Syria

Umoja wa mataifa unasema pande zinazozana mjini Homs nchini Syria zimeafikiana kuongeza muda wa kusitisha mapigano kwa siku tatu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Serikali yafikia mkataba na waasi Syria

Serikali ya Syria imefikia mapigano ya usitishaji mapigano na makundi ya waasi katika mji wa Horms, hatua inayotajwa na serikali hiyo kama mafanikio makubwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakubaliana kusitisha mapigano Gaza

Israel na Wapalestina wakubaliana kusitisha mapigano Gaza chini ya usuluhishi wa Misri

 

11 years ago

BBCSwahili

Palestina ipo tayari kusitisha mapigano

Uongozi wa Palestina umependekeza makubaliano ya saa ishirini na nne ya kusitisha mapigano dhidi yake na Israel.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel,Hamas kusitisha mapigano saa 72

Israel na Hamasi wamekubaliana kusitisha mapigano kwa saa 72 .

 

11 years ago

BBCSwahili

Anti-Balaka,Seleka kusitisha mapigano?

Wanamgambo kutoka kundi la Anti- Balaka na Seleka wametia saini mpango wa kusitisha mapigano

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi wakubali kusitisha vita Yemen

Wanajeshi waasi nchini Yemen wanaowasaidia waasi wa Houthi kudhiditi maeneo makubwa ya nchi hiyo wamekubali usitishwaji wa mapigano

 

9 years ago

BBCSwahili

Waasi Yemen kuacha mapigano?

Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema waasi wa Yemen wamekubali kuacha mapigano.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mapigano yashika kasi Syria

Mapigano yashika kasi nchini Syria wakati ambapo mazungumzo ya Geneva yanaendelea

 

9 years ago

BBCSwahili

Syria yashambulia ngome za waasi

Maelfu ya watu wameuawa upande wa kaskazini-magharibi mwa Syria katika mfululizo wa mashambulizi ya anga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani