Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Israel,Hamas kusitisha mapigano saa 72

Israel na Hamasi wamekubaliana kusitisha mapigano kwa saa 72 .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Hamas kusitisha mashambulizi Israel

Kundi la wapiganaji wa Palestina la Hamas kimesema kipo tayari kusimamisha mapigano ya maroketi nchini Israel.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel na Hamas kusimamisha mapigano?

Israel na Hamas zimekubaliana na maombi ya Misri ya kusimamisha mapigano kwa siku tatu huko Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel kusitisha vita kwa saa 24 zaidi

Serikali ya Israel imekubali kusitisha vita katika eneo la Gaza kwa sababu za kibinaadamu kufuatia ombi la umoja wa mataifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wa Hamas waendeleza mapigano

Makundi ya wapiganaji wa Hamas yameendeleza mashambulizi huku jitihada za kusitisha mapigano zikiwa hazijaza amatunda.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel:Tutajilinda na Hamas

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Israel inatakiwa kujiandaa kwa ajili ya mpango wa muda mrefu katika Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakubaliana kusitisha mapigano Gaza

Israel na Wapalestina wakubaliana kusitisha mapigano Gaza chini ya usuluhishi wa Misri

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel yamlenga kiongozi wa Hamas

Kikundi cha Hamas kimesema mke na mtoto wa kamanda wake wa kijeshi, Mohammed Deif, wameuawa katika shambulio la Israel

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel-Hamas wazidisha mashambulio

Wanamgambo wa Kipalestina wajibu mashambulio ya Israel katika maeneo ya Gaza mapema Jumatano.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tumeharibu Mahandaki ya Hamas:Israel

Msemaji wa Majeshi ya Israel amesema wameharibu karibu nusu ya maandaki 30 yanatumiwa na Hamas kuvuka mpaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani