Wapiganaji wa Hamas waendeleza mapigano
Makundi ya wapiganaji wa Hamas yameendeleza mashambulizi huku jitihada za kusitisha mapigano zikiwa hazijaza amatunda.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Wakurd waendeleza mapigano,Kabone
Mapigano makali ya kurushiana risasi yanaendelea kati ya majeshi ya serikali na wapiganaji wa Kikrud nchini Syria.
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Israel na Hamas kusimamisha mapigano?
Israel na Hamas zimekubaliana na maombi ya Misri ya kusimamisha mapigano kwa siku tatu huko Gaza.
11 years ago
BBCSwahili01 Aug
Israel,Hamas kusitisha mapigano saa 72
Israel na Hamasi wamekubaliana kusitisha mapigano kwa saa 72 .
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Wafanyabiashara waendeleza vita ya EFD
Mgomo wa wafanyabiashara wenye maduka umeendelea sehemu mbalimbali nchini huku wakimtaka Rais Jakaya Kikwete kufanyia kazi malalamiko ya kiwango kikubwa cha bei za Mashine za Kielektroniki za Kutoza Kodi (EFD).
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Magufuli, Lowassa waendeleza tambo
Wagombea urais jana walikuwa miongoni mwa mamilioni ya Watanzania waliojitokeza kupiga kura, huku Dk John Magufuli wa CCM na Edward Lowassa wakiendeleza tambo za ushindi.
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Murray,Sharapova waendeleza ushindi
Nyota wa Tenesi Andy Murray ameendeleza wimbi ushindi katika michuano ya wazi ya Melbourne
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
Al-Shabaab waendeleza biashara ya mkaa
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imekishutumu kikundi cha Somalia cha Al Shabaab kwa kuendelea na biahara ya mkaa.
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Wazazi waendeleza maandamano Mexico
Wazazi wa wanafunzi 43 wa Mexico waliotoweka wiki 7 zilizopita wameendelea kuandamana dhidi ya serikali.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Boko Haram waendeleza mauaji Nigeria
Wapiganaji wa kundi la Boko Haram wamekabiliana vikali na wanajeshi huku milipuko na milio ya risasi ikisikika mjini Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania