Wafanyabiashara waendeleza vita ya EFD
Mgomo wa wafanyabiashara wenye maduka umeendelea sehemu mbalimbali nchini huku wakimtaka Rais Jakaya Kikwete kufanyia kazi malalamiko ya kiwango kikubwa cha bei za Mashine za Kielektroniki za Kutoza Kodi (EFD).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Wafanyabiashara wazijadili mashine za EFD’s
KATIBU wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Sued Chemuchemu, amesema matumizi ya mashine za EFD’s ni kandamizi kwa wafanyabiashara kwa sababu wakati wa kutungwa kwa sheria ya matumizi yake hakuna mfanyabiashara...
10 years ago
Michuzi
Wafanyabiashara Washauriwa Kutumia Mashine za EFD
Na Beatrice Lyimo- Maelezo.
Kampuni ya COMPULYNX Tanzania inayoshughulika na usambazaji wa mashine za Electronic Fiscal Device (EFD) imewashauri wafanya biashara nchini kutumia mashine hizo ipasavyo kwani husaidia kukuza pato la Taifa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw Sailesh Savani wakati akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
“Wafanyabiashara wasiwe waoga kutumia mashine za EFD kwani huleta uhalali wa pande zote mbili ikiwemo Serikali...
Kampuni ya COMPULYNX Tanzania inayoshughulika na usambazaji wa mashine za Electronic Fiscal Device (EFD) imewashauri wafanya biashara nchini kutumia mashine hizo ipasavyo kwani husaidia kukuza pato la Taifa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw Sailesh Savani wakati akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
“Wafanyabiashara wasiwe waoga kutumia mashine za EFD kwani huleta uhalali wa pande zote mbili ikiwemo Serikali...
11 years ago
Mwananchi01 Jan
TRA sasa yagwaya wafanyabiashara EFD
Wakati mgomo wa wafanyabiashara mkoani Mwanza unaendelea, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haitatumia ubabe kuwafungia maduka ambao watashindwa kuwa na Mashine za Kielektroniki (EFD).
11 years ago
GPLWAFANYABIASHARA KARIAKOO DAR WAGOMEA MASHINE ZA EFD
Baadhi ya maduka yaliyoko mitaa mbalimbali ya Kariakoo yakiwa yamefungwa. BAADHI ya wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, wamegoma kufungua maduka wakidai warudishiwe mashine za mkono za awali badala ya zile za EFD, wakisema zinatumia ‘network’ na inapokuwa  haipo panakuwa na  usumbufu kwa wauzaji na wateja. Kamera ya  GPL imezunguka maeneo… ...
11 years ago
Michuzi03 Feb
Adam Mlima asisitiza umuhim wa mashine za EFD kwa wafanyabiashara nchini.



9 years ago
Mwananchi17 Nov
Vita ya kipindupindu yaanzia kwa wafanyabiashara
Wilaya ya Makete imeanza kutoa elimu ya usafi wa mazingira kwa wafanyabiashara wa migahawa na hoteli kama njia mojawapo ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa kipindupindu ambao umeyakumba maeneo mengi nchini.
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
Wapiganaji wa Hamas waendeleza mapigano
Makundi ya wapiganaji wa Hamas yameendeleza mashambulizi huku jitihada za kusitisha mapigano zikiwa hazijaza amatunda.
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Magufuli, Lowassa waendeleza tambo
Wagombea urais jana walikuwa miongoni mwa mamilioni ya Watanzania waliojitokeza kupiga kura, huku Dk John Magufuli wa CCM na Edward Lowassa wakiendeleza tambo za ushindi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania