Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRA sasa yagwaya wafanyabiashara EFD

Wakati mgomo wa wafanyabiashara mkoani Mwanza unaendelea, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haitatumia ubabe kuwafungia maduka ambao watashindwa kuwa na Mashine za Kielektroniki (EFD).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TRA: Mashine za EFD haziepukiki

WAKATI wafanyabiashara maeneo mbalimbali nchini wakiendelea na mgomo kupinga kununua mashine za EFDs, Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini, (TRA), Rished Bade, amesisitiza kuwa mashine hizo haziepukiki na...

 

11 years ago

TheCitizen

Traders, TRA meet over EFD

The Tanzania Business Community is in consultation with the Tanzania Revenue Authority to find the best way of how the controversial Electronic Fiscal Devices (EFDs) should be used by traders.

 

11 years ago

IPPmedia

TRA should address EFD strike mayhem


TRA should address EFD strike mayhem
IPPmedia
No doubt, the wish of most Tanzanians is for the government to take appropriate actions to create an enabling environment for smooth business operations in the country. These include not only instituting tax measures that are rational, but also those which ...
S'wanga traders stick to their guns on EFD useDaily News

all 4

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara waendeleza vita ya EFD

Mgomo wa wafanyabiashara wenye maduka umeendelea sehemu mbalimbali nchini huku wakimtaka Rais Jakaya Kikwete kufanyia kazi malalamiko ya kiwango kikubwa cha bei za Mashine za Kielektroniki za Kutoza Kodi (EFD).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wazijadili mashine za EFD’s

KATIBU wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Sued Chemuchemu, amesema matumizi ya mashine za EFD’s ni  kandamizi kwa wafanyabiashara kwa sababu wakati wa kutungwa kwa sheria ya matumizi yake hakuna mfanyabiashara...

 

11 years ago

Mwananchi

TRA yakunjua makucha kwa waliozigomea EFD

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Singida imewapandisha kizimbani wafanyabiashara wanne wa Mjini Singida kwa makosa mbalimbali, ikiwemo kutotumia kwa makusudi mashine za kielekroniki (EFD) kukusanyia kodi, huku wakijua wazi ni kosa kisheria.

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyabiashara Washauriwa Kutumia Mashine za EFD

Na Beatrice Lyimo- Maelezo.
Kampuni ya COMPULYNX Tanzania inayoshughulika na usambazaji wa mashine za Electronic Fiscal Device (EFD) imewashauri wafanya biashara nchini kutumia mashine hizo ipasavyo kwani husaidia kukuza pato la Taifa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw Sailesh Savani wakati akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
“Wafanyabiashara wasiwe waoga kutumia mashine za EFD kwani huleta uhalali wa pande zote mbili ikiwemo Serikali...

 

10 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA KARIAKOO DAR WAGOMEA MASHINE ZA EFD

Baadhi ya maduka yaliyoko  mitaa mbalimbali ya Kariakoo yakiwa yamefungwa. BAADHI ya wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, wamegoma kufungua maduka wakidai warudishiwe mashine za mkono za awali badala ya zile za EFD, wakisema zinatumia ‘network’ na inapokuwa  haipo panakuwa na  usumbufu kwa wauzaji na wateja. Kamera ya  GPL imezunguka maeneo… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani