Vita ya kipindupindu yaanzia kwa wafanyabiashara
Wilaya ya Makete imeanza kutoa elimu ya usafi wa mazingira kwa wafanyabiashara wa migahawa na hoteli kama njia mojawapo ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa kipindupindu ambao umeyakumba maeneo mengi nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Oct
Wafanyabiashara Buhongwa wahofia kuugua kipindupindu
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
9 years ago
StarTV27 Nov
Vita Dhidi Ya Kipindupindu  Watumishi, wakazi wa Bukoba wafanya usafi
Kauli ya Rais John Magufuli ya kufanya usafi na kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu imeanza kuungwa mkono na watumishi wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera ambao wameungana na wakazi wa manispaa hiyo kufanya usafi na kusimamia zoezi hilo.
Kitendo cha watumishi hao kinakwenda sambamba na kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu ambao hadi sasa umekwishapoteza maisha ya watu wawili katika manispaa hiyo.
Moja ya maeneo ya biashara ambayo yameamuriwa kufungwa ,kutokana na eneo hilo kukithiri kwa...
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Wafanyabiashara waendeleza vita ya EFD
9 years ago
Habarileo14 Sep
Yanga yaanzia kileleni
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga jana walianza vyema kampeni ya kutetea ubingwa wao wa Ligi Kuu baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo mkali uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiHICzyxyG5xxRKrKex8JiE8PS1jJwU7cA3hWVEVNdY85Dhr1kzy4RgYhWohIWf5iIaCkd4i7NdaxJQgSgEK3gs9/Wema.gif?width=650)
KIPINDUPINDU CHANYEMELEA NYUMBANI KWA WEMA
9 years ago
VijimamboKWA STAILI HII KIPINDUPINDU HAKITATUACHA
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Watu 19 wafariki dunia kwa kipindupindu
Na Benjamin Masese, Mwanza
SERIKALI imesema watu 631 mkoani Mwanza wameugua ugonjwa wa kipindupindu kati ya Januari hadi Desemba 15, mwaka huu ambapo kati yao 19 wamefariki dunia.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo wakati akizungumza na madiwani pamoja watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu wiki iliyopita.
Wakati Mulongo akitoa takwimu hizo, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Lwakyendera Onesmo aliliambia MTANZNAIA jana kwamba wagonjwa wapya wameendelea...
9 years ago
MichuziNANE WAFARIKI KWA KIPINDUPINDU KINONDONI