KWA STAILI HII KIPINDUPINDU HAKITATUACHA
Maji ya shida, umeme kwa mgao, internet kwa vifurushi, daresalama mambo yake si salama, haya ndio yanayowakuta wakaazi wa daresalama. shida inapotokea wengine wananufaika, wengine wanahasirika, waburuta vitoroli kwao inakuwa neema, tenda za kuchota maji zinawaongezea kipato, lakini usalama wa maji hayo hauna uhakika wapi wameyapata, ugumu wa jibu wasuali hilo, inawafanya wengine wakaze buti wakayatafute maji popote yalipo kwa gharama yoyote. PICHA NA VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTION
Pamoja na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k53bOevhUf4Elat3vCp39QNuqvFOxsQ1nxnsCLX5Vrz*YOVsJzcnTLYyyZKULWojQ60t3ESOheA4ELX1yL8zaRJ/10.jpg?width=650)
MPENZI YUKO MBALI? SHEREHEKEA NAYE SIKUKUU KWA STAILI HII!
10 years ago
Dewji Blog28 Nov
Njoo tuage mwezi Novemba kwa staili ya aina yake na Skylight Band ikiwemo Red carpet treatment, Ijumaa hii Thai Village
Kutoka kushoto ni Dinga Mbepera, Aneth Kushaba AK47, Sam Mapenzi na Bella Kombo wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki ambapo ratiba ya Skylight Band wiki hii tukifunga mwezi Novemba kwa mwaka 2014 ni kama ifutavyo.
IJUMAA 28.11.14: Kama kawaida tunaaga mwezi aina yake, skylight friday ndani ya Thai village masaki,special show ya mwisho wa mwezi kuwashukuru wadau wetu, Kutakua na Red carpet treatment, kutakua free shots of...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/DSC_00162.jpg)
NJOO TUAGE MWEZI NOVEMBA KWA STAILI YA AINA YAKE NA SKYLIGHT BAND IKIWEMO RED CARPET TREATMENT, IJUMAA HII THAI VILLAGE
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ciAqQ6as-gU/VDKRTv8bnbI/AAAAAAAGoT4/4JsfcNG5ZBE/s72-c/pic%2B7.jpg)
AIRTEL YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA STAILI LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ciAqQ6as-gU/VDKRTv8bnbI/AAAAAAAGoT4/4JsfcNG5ZBE/s1600/pic%2B7.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-dYCXPbeOV0s/VDKRYU_la7I/AAAAAAAGoUg/Iwew-LcUoV0/s1600/pic4.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*AQLU9VdSBB7Xv7NCMjlUo5gZle50r8cQfMTRO8tqs3dE2oqtVw59iP5VzipLf4H7nWILaK77Ba33vc*O8E80m/efm.jpg?width=650)
EFm YANOGESHA KWA STAILI YA VIGODORO
10 years ago
Mwananchi01 Mar
Makonda aanza U-DC kwa staili ya Mwinyi