Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makonda aanza U-DC kwa staili ya Mwinyi

>Alifanya Rais Ali Hassan Mwinyi na baadaye Augustine Mrema na sasa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda anataka kufuata nyayo baada ya kutenga kila Ijumaa kuwa siku maalumu ya kusikiliza kero za wananchi wake wa wilaya hiyo kuhusu suala nyeti la ardhi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MHE. PAUL MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI

Mhe. Makonda akiangalia maabara inayoendelea kujengwa katika shule ya Sekondari Tuliani.…

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA AANZA KAZI RASMI WILAYA YA KINONDONI,JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Eng. Mussa Natty akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wa kwanza kushoto) ambapo alisema miradi ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari katika wilaya hiyo itagharimu zaidi ya sh. bilioni 2. na kuwa ujenzi wake unasimamiwa na waataalamu waliobobea katika shughuli hiyo.FUPA uliomshinda Waziri wa zamani wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kuhusu migogoro ya ardhi iliyokithiri katika Manispaa...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA STAILI LEO

Wakurugenzi wote wa Airtel wakiongozwa na mkuu wao Sunil Colaso (kati) wakikata keki leo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaadhimishwa duniani kote kuanzia tareh 6, Airtel imejipanga kuadhimisha wiki hii kwa kuwashuru wateja wake wote, kuongeza motishaa kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Bw Sunil Colaso akiongea na wafanyakazi wote pamoja...

 

11 years ago

GPL

EFm YANOGESHA KWA STAILI YA VIGODORO

Kundi la Bagamoyo Star kutoka wilaya ya Bagamoyo, Pwani.
Mashefa Musica kutoka Msasani wakikamua.
Baba Yoyoo akijipoza kwa lambalamba wakati akishuhudia matukio.…

 

9 years ago

Vijimambo

KWA STAILI HII KIPINDUPINDU HAKITATUACHA

 Maji ya shida, umeme kwa mgao, internet kwa vifurushi, daresalama mambo yake si salama, haya ndio yanayowakuta wakaazi wa daresalama. shida inapotokea wengine wananufaika, wengine wanahasirika, waburuta vitoroli kwao inakuwa neema, tenda za kuchota maji zinawaongezea kipato, lakini usalama wa maji hayo hauna uhakika wapi wameyapata, ugumu wa jibu  wasuali hilo, inawafanya wengine wakaze buti wakayatafute maji popote yalipo kwa gharama yoyote. PICHA NA VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTIONPamoja na...

 

10 years ago

Habarileo

Siha waapisha viongozi kwa staili ‘yake’

Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey MwanriMAMIA ya wananchi wa wilaya ya Siha juzi walifurika kwa wingi kushuhudia viapo vya kutumikia wananchi vikitolewa na viongozi waliochaguliwa ngazi ya wenyeviti wa vijiji, vitongoji na wajumbe wa halmashauri za vijiji.

 

10 years ago

Vijimambo

SANDRA NA GEORGE WAKIONDOKA UKUMBINI KWA STAILI YAO

 Sandra na George wakiwaaga wageni wao walipokua wakiondoka ukumbini. Sandra na George wakiwapungia wageni wao waliohudhuria harusi yao walipokua wakiondoka kwa staili yao ya pekee. Sandra na George wakiwa na furaha. Wakielekea kwenye usafiri wao Sandra na George wakishangiliwa kwa vigeregere na vifijo huku wakiimba wanameremeta. Sandra na George wakiwa tayari kwa kuondoka.Familia na Bi. harusi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani