Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. PAUL MAKONDA AANZA UTEKELEZAJI

Mhe. Makonda akiangalia maabara inayoendelea kujengwa katika shule ya Sekondari Tuliani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

PAUL MAKONDA WA UVCCM ATEMBELEA GLOBAL

Luqman Maloto mmoja wa wahariri wa Global akimkaribisha Bw. Makonda. Bw. Makonda akifafanua jambo mbele ya wanahabari wa Global (hawapo pichani).…

 

11 years ago

Michuzi

RASIMU YA KATIBA IMEWASAHAU VIJANA - PAUL MAKONDA

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Paul Makonda akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie,Mh. Godbress Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Mimi ni Kijana, ninayoyazungumza,ninayoyafanya yana reflect uhalisia huo. Hivyo kwa wito wa Ujana najikuta nashawishika sana kuongeza umakini katika masuala yahusuyo vijana hasa kwenye Katiba.
Ni ajabu lakini kweli kuwa sehemu inayotaja juu ya Haki na Wajibu wa Vijana katika Rasimu yote ni Ibara ya 44 tu, tena inataja kwa ujumla wake bila hata...

 

9 years ago

StarTV

Paul Makonda aagiza kusitishwa malipo ya wakandarasi

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameagiza kusitishwa kwa malipo ya wakandarasi wanaojenga Barabara sita za Manispaa hiyo kutokana na ubadhirifu wa fedha zaidi ya shilingi bilioni tano kuendelea kutumika kwenye ujenzi huo kwa kilichodaiwa kuwa ni nyongeza ya kazi kwenye barabara hizo.

Kwa mujibu  wa mkataba wa ujenzi wa barabara hizo sita kama ilivyoelezwa na mkuu huyo wa Wilaya zilipaswa kugharimu kiasi cha Shilingi bilioni nne, milioni 965, laki 2 na nne elfu mia tisa na hamsini...

 

9 years ago

MillardAyo

DC Paul Makonda kwenye hizi sentensi tatu

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda leo amekutana na viongozi wa masoko mbalimbali na kuzungumzia kero zinazokabili masoko hayo. “Nimeitisha kikao cha viongozi wa masoko, wamekuja wote na kujadili afya, vyoo vinayotumika ndani ya masoko, biashara katika ukusanyaji wa masoko, nimeelekeza Afisa bishara na viongozi wa Wilaya ni kuziangalia changamoto hizo ikiwemo kupima eneo […]

The post DC Paul Makonda kwenye hizi sentensi tatu appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Makonda aanza U-DC kwa staili ya Mwinyi

>Alifanya Rais Ali Hassan Mwinyi na baadaye Augustine Mrema na sasa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda anataka kufuata nyayo baada ya kutenga kila Ijumaa kuwa siku maalumu ya kusikiliza kero za wananchi wake wa wilaya hiyo kuhusu suala nyeti la ardhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani