Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Paul Makonda aagiza kusitishwa malipo ya wakandarasi

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameagiza kusitishwa kwa malipo ya wakandarasi wanaojenga Barabara sita za Manispaa hiyo kutokana na ubadhirifu wa fedha zaidi ya shilingi bilioni tano kuendelea kutumika kwenye ujenzi huo kwa kilichodaiwa kuwa ni nyongeza ya kazi kwenye barabara hizo.

Kwa mujibu  wa mkataba wa ujenzi wa barabara hizo sita kama ilivyoelezwa na mkuu huyo wa Wilaya zilipaswa kugharimu kiasi cha Shilingi bilioni nne, milioni 965, laki 2 na nne elfu mia tisa na hamsini...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.
 DC Makonda akisisitiza jambo katika uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk.Aziz Msuya, Diwani...

 

5 years ago

The Citizen Daily

Dar es Salaam Regional Commissioner Paul Makonda draws President Magufuli’s wrath in public

Dar es Salaam Regional Commissioner Paul Makonda draws President Magufuli’s wrath in public  The Citizen Daily

 

9 years ago

Dewji Blog

DC PAUL MAKONDA: Afanya ziara ya kushitukiza Kinondoni ataka wafanyakazi wapatiwe mikataba stahiki sehemu za kazi!

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Gereji ya Spring City Enterprises inayomilikiwa na raia wa China iliyopo Mikocheni B Mlalakuwa  Barabara ya Mwai Kibaki Dar es Salaam leo, alipofika kusikiliza malalamiko yao mbalimbali yakiwemo ya kutokuwa na mikataba ya kazi licha ya kuwa kazini kwa zaidi ya miaka saba.  Makonda akiangalia kitambulisho dhaifu wanavyotumia wafanyakazi hao ambacho hakiwezi kutumimika kumuwekea mtu dhamana na shughuli...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA MAONESHO YA 5 YA KAMPUNI YA EAG GROUP LEO JIJINI DAR.

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akikata utepe kuzindua maonyesho ya 5 ya Kampuni ya EAG Group Ltd yanayofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam,kutoka kushoto ni Msanifu majengo wa wizara ya Ardhi Julius Ndege na Mkurugenzi mkuu wa EAG group Ltd Imani Kajula. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akipewa maelekezo alipotembelea banda la DEGE Eco Village na  Mkurugenzi  na Afisa Masoko wa DEGE Eco Villag,Ashar Malik katika maonyesho ya 5 ya EAG Group Ltd...

 

10 years ago

Michuzi

PAUL MAKONDA AUNDA KAMATI YA KUSHUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA ARDHI KINONDONI


Mh. Paul Makonda
Mkuu wa Wilaya la KinondoniMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.
Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya kutembelea wilaya hiyo, Makonda alisema asili ya migogoro hii inatokana hasa na mgongano wa uhalali wa umiliki pamoja na uvamizi wa maeneo ya wazi yaliyotengwa maalumu kwa shughuli za...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA IBADA YA MAKUNDI MAALUMU KATIKA KANISA LA KILUTHERI USHARIKA WA KIGOGO JIJINI DAR

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kigogo na vijana waliopo katika kundi maalumu kutokana na kuathiriwa na matumizi ya dawa za kulevya wakati akizindua ibada makundi maalumu iliyoanzishwa katika kanisa hilo Dar es Salaam jana. Msaidizi mstaafu wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), George Fute (kulia), akimpongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda kwa kuteuliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani