KIPINDUPINDU CHANYEMELEA NYUMBANI KWA WEMA

Brighton Masalu Taarifa za ugonjwa wa kipindupindu zimebadili mfumo wa maisha ya watu wengi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha maeneo wanayoishi ni masafi lakini nyumbani kwa msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Kijitonyama jijini Dar hali ni tofauti.. Â ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1LFlwUH
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WASULUBIWA NYUMBANI KWA WEMA
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
TUKIO:Wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema
Nyumbani kwa muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi.
Wema akiwa ndani
Kwamujibu wa Bongo5 ambao walizungumza jana na jirani wa Wema aliyetambulika kwa jina la Mama Steve, alisema tukio hilo lilitokea Ijumaa majira ya saa 5 asubuhi mpaka saa 9 jioni.
“Waliopigwa na kulazwa chini uchi wa mnyama ni mafundi ambao wanakujaga kila siku kumtengenezea Wema nyumba...
10 years ago
GPL
MASAI APELEKA BARUA YA UCHUMBA NYUMBANI KWA WAZAZI WA WEMA SEPETU
9 years ago
Michuzi
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
10 years ago
Bongo507 Dec
Watu 2 wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema, ni mafundi wake waliodaiwa kuiba
11 years ago
GPL
KAN'TANGAZE: MAMA'KE DIAMOND ANASWA NYUMBANI KWA WEMA
11 years ago
Vijimambo
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.

11 years ago
GPLWEMA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE, AITA WAKWE, MAWIFI ZAKE
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.
Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.
Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema –...