WASULUBIWA NYUMBANI KWA WEMA

Stori: Gladness Mallya na Musa Mateja JAMAA wawili, mmoja fundi umeme, Rashid Balazi na Juma Bushiri wanadaiwa kunusurika kifo baada ya kutekwa na kusulubiwa nyumbani kwa msanii wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu wakituhumiwa kukwapua simu ya bei mbaya ya mpambe wa mwanadada huyo, Petit Man, Amani limeichimba kwa kina. Rashid Balazi akiwa na jeraha begani baada ya kutekwa na kupigwa. TUJIUNGE NA MANUSURA Wakielezea...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KIPINDUPINDU CHANYEMELEA NYUMBANI KWA WEMA
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
TUKIO:Wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema
Nyumbani kwa muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi.
Wema akiwa ndani
Kwamujibu wa Bongo5 ambao walizungumza jana na jirani wa Wema aliyetambulika kwa jina la Mama Steve, alisema tukio hilo lilitokea Ijumaa majira ya saa 5 asubuhi mpaka saa 9 jioni.
“Waliopigwa na kulazwa chini uchi wa mnyama ni mafundi ambao wanakujaga kila siku kumtengenezea Wema nyumba...
10 years ago
GPL
MASAI APELEKA BARUA YA UCHUMBA NYUMBANI KWA WAZAZI WA WEMA SEPETU
10 years ago
Bongo507 Dec
Watu 2 wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema, ni mafundi wake waliodaiwa kuiba
11 years ago
GPL
KAN'TANGAZE: MAMA'KE DIAMOND ANASWA NYUMBANI KWA WEMA
11 years ago
Vijimambo
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.

11 years ago
GPLWEMA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE, AITA WAKWE, MAWIFI ZAKE
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.
Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.
Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema –...
11 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...