Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAN'TANGAZE: MAMA'KE DIAMOND ANASWA NYUMBANI KWA WEMA

Na Waandishi Wetu KANTANGAZE! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi picha za tukio la Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akiwa na ‘mkwewe’, Sanura Kasimu ‘Sandra’ wakiwa pamoja nyumbani kwa staa huyo wa filamu Bongo, Kijitonyama jijini Dar. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akimnawisha Diamond Platinum kwa ajili ya kupata futari. Kwa mara ya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA, DIAMOND WANADAIWA KUFANYIANA 'TIMINGI' YA KUMWAGANA!

Diamond..Mh! Upepo mbaya unaivumia kapo ya mafahari wawili Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambapo wanadaiwa kufanyiana ‘taimingi’ ya kumwagana, Ijumaa Wikienda linakupa ‘ubuyu’ kamili. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu makini, wawili hao wamepotezeana kwa muda mrefu huku kila mmoja...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA RAIS ANASWA AKIPIMA 'NGOMA'

Na Issa Mnally
MTOTO wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Salmin Amour aitwaye Amini Salmin, Februari 14 mwaka huu alinaswa akipima Ugonjwa wa Ukimwi ‘ngoma’ katika kituo cha ushauri nasaa cha  AMREF Makao Makuu kilichopo Upanga, jijini Dar, Amani linakujuza. Mwandishi wetu alimshuhudia Amini akiwa katika kituo hicho kupima ugonjwa huo katika siku hiyo ambayo huadhimishwa kama Siku ya Wapendanao...

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU AMREKODI 'BABY' WAKE AKIGONGA MENYU

Staa wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu amemrekodi mpenzi wake, Diamond Platnumz akipata msosi katika mghahawa wa Indian Cuisine (Video: Instagram)

 

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU 'MADAM' AKIWA RED CARPET DAR LIVE USIKU HUU

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu akipozi katika red carpet ndani ya Dar Live usiku huu tayari kwa shindano la Ijumaa Sexiest Girl linalofikia tamati leo.

 

10 years ago

GPL

NI SHEEDAH 'WEMA, AUNTY HUSAGANA'

Stori: Musa Mateja na Imelda Mtema Ni sheedah! Pamoja na kukanusha kwa kutumia nguvu kubwa, nyuma ya ushosti wa mastaa grade one wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Aunty Ezekiel kuna siri nzito ikidaiwa kwamba wawili hao husagana. Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Aunty Ezekiel wakidendeka hadhalani. TUKIO BICHI
Madai hayo ya muda mrefu huku wenyewe wakisisitiza si ya kweli,...

 

10 years ago

GPL

MSANII WA MAIGIZO 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA

MSANII wa maigizo aliyewahi kuwika na kundi la Kaole Sanaa Group, Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ amefariki dunia. Mama Mashaka amefariki usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano za usiku katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala, jijini, Dar. Kwa habari zaidi tutaendelea kukujuza hapa .

 

10 years ago

GPL

MSANII 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA LEO

Waombolezaji wakiwa wenye nyuso za simanzi. Bi Mwenda akiwa msibani leo. Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ enzi wa uhai wake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani