Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA LEO

Waombolezaji wakiwa wenye nyuso za simanzi. Bi Mwenda akiwa msibani leo. Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ enzi wa uhai wake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSANII WA MAIGIZO 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA

MSANII wa maigizo aliyewahi kuwika na kundi la Kaole Sanaa Group, Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ amefariki dunia. Mama Mashaka amefariki usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano za usiku katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala, jijini, Dar. Kwa habari zaidi tutaendelea kukujuza hapa .

 

11 years ago

GPL

ERIC LAWSON 'MARLBORO' AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 72

Eric Lawson maarufu kwa jina la Marlboro enzi za uhai wake. MWIGIZAJI wa Marekani, Eric Lawson maarufu kwa jina la Marlboro baada ya kutokea katika matangazo ya sigara miaka ya 1970 amefariki kwa ugonjwa wa mapafu akiwa na umri wa miaka 72. Lawson alifariki Januari 10 mwaka huu akiwa nyumbani kwake San Luis Obispo kwa ugonjwa wa mapafu, kwa mujibu wa mkewe Susan Lawson. Lawson aliyeanza kuvuta sigara akiwa na umri wa miaka 14,...

 

10 years ago

GPL

RICHARD KIEL 'MENO YA CHUMA' WA JAMES BOND AFARIKI DUNIA

Mwigizaji  Richard Kiel 'meno ya chuma' enzi za uhai wake. MWIGIZAJI wa Marekani, Richard Kiel aliyecheza filamu za James Bond akiwa na meno ya chuma amefariki dunia akiwa na miaka 74 jijini California. Richard Kiel (kulia) akimkaba Roger Moore katika filamu ya 'The Spy Who Loved Me'. Kiel amefariki akiwa Kituo cha Afya cha Saint Agnes Fresno jijini California nchini Marekani alipokuwa akitibiwa.… ...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

HUYU NDIYE 'SECOND BORN' WA MSANII KEISHA

STAA wa Bongo Fleva, Khadija Shaban ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume Jumatatu ya Mei 5 mwaka huu katika hospitali ya Mount Mkombozi iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. GPL inamtakia heri Keisha pamoja na mwanaye!
Keisha akipozi na mwanaye pamoja na watu waliofika…

 

10 years ago

GPL

DENTI 'FORM FOUR' ALIYEFARIKI DUNIA SAA 3 KABLA YA MTIHANI

Stori: Mwandishi wetu NI SIMANZI! Msichana Yunis Festo aliyekuwa na umri wa miaka 18 akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Simba wa Yuda iliyoko katika Kijiji cha Bulima, wilaya ya Busega mkoani Simiyu, alifariki dunia ghafla, saa takriban tatu tu kabla ya kuanza mitihani ya kumaliza elimu ya sekondari, alfajiri ya Jumatatu wiki hii. Yunis Festo enzi za uhai wake. Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili akiwa...

 

11 years ago

GPL

KAN'TANGAZE: MAMA'KE DIAMOND ANASWA NYUMBANI KWA WEMA

Na Waandishi Wetu KANTANGAZE! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi picha za tukio la Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akiwa na ‘mkwewe’, Sanura Kasimu ‘Sandra’ wakiwa pamoja nyumbani kwa staa huyo wa filamu Bongo, Kijitonyama jijini Dar. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akimnawisha Diamond Platinum kwa ajili ya kupata futari. Kwa mara ya… ...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA DUNIA 'YABANA' MSAADA KWA UG

Benki ya dunia. Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheria mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja. Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja. Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani