Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ERIC LAWSON 'MARLBORO' AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 72

Eric Lawson maarufu kwa jina la Marlboro enzi za uhai wake. MWIGIZAJI wa Marekani, Eric Lawson maarufu kwa jina la Marlboro baada ya kutokea katika matangazo ya sigara miaka ya 1970 amefariki kwa ugonjwa wa mapafu akiwa na umri wa miaka 72. Lawson alifariki Januari 10 mwaka huu akiwa nyumbani kwake San Luis Obispo kwa ugonjwa wa mapafu, kwa mujibu wa mkewe Susan Lawson. Lawson aliyeanza kuvuta sigara akiwa na umri wa miaka 14,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSANII WA MAIGIZO 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA

MSANII wa maigizo aliyewahi kuwika na kundi la Kaole Sanaa Group, Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ amefariki dunia. Mama Mashaka amefariki usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano za usiku katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala, jijini, Dar. Kwa habari zaidi tutaendelea kukujuza hapa .

 

10 years ago

GPL

MSANII 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA LEO

Waombolezaji wakiwa wenye nyuso za simanzi. Bi Mwenda akiwa msibani leo. Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ enzi wa uhai wake.…

 

10 years ago

GPL

RICHARD KIEL 'MENO YA CHUMA' WA JAMES BOND AFARIKI DUNIA

Mwigizaji  Richard Kiel 'meno ya chuma' enzi za uhai wake. MWIGIZAJI wa Marekani, Richard Kiel aliyecheza filamu za James Bond akiwa na meno ya chuma amefariki dunia akiwa na miaka 74 jijini California. Richard Kiel (kulia) akimkaba Roger Moore katika filamu ya 'The Spy Who Loved Me'. Kiel amefariki akiwa Kituo cha Afya cha Saint Agnes Fresno jijini California nchini Marekani alipokuwa akitibiwa.… ...

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

ERIC SHIGONGO, MASANJA MKANDAMIZAJI WANOGESHA 'SUNDAY CELEBRATION SEASON 4' YA GWT

Eric Shigongo akitoa somo la Siri za kutoka kuwa Mwajiriwa hadi kuwa Mwajiri kwa watu waliohudhuria Sunday Celebration ya GWT. Emmanuel Mgaya 'Masanja Mkandamizaji' akitoa burudani kwa wahudhuriaji wa Sunday Celebration.…

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU 'MADAM' AKIWA RED CARPET DAR LIVE USIKU HUU

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu akipozi katika red carpet ndani ya Dar Live usiku huu tayari kwa shindano la Ijumaa Sexiest Girl linalofikia tamati leo.

 

10 years ago

GPL

DENTI 'FORM FOUR' ALIYEFARIKI DUNIA SAA 3 KABLA YA MTIHANI

Stori: Mwandishi wetu NI SIMANZI! Msichana Yunis Festo aliyekuwa na umri wa miaka 18 akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Simba wa Yuda iliyoko katika Kijiji cha Bulima, wilaya ya Busega mkoani Simiyu, alifariki dunia ghafla, saa takriban tatu tu kabla ya kuanza mitihani ya kumaliza elimu ya sekondari, alfajiri ya Jumatatu wiki hii. Yunis Festo enzi za uhai wake. Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili akiwa...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA DUNIA 'YABANA' MSAADA KWA UG

Benki ya dunia. Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheria mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja. Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja. Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani