Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU NDIYE 'SECOND BORN' WA MSANII KEISHA

STAA wa Bongo Fleva, Khadija Shaban ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume Jumatatu ya Mei 5 mwaka huu katika hospitali ya Mount Mkombozi iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. GPL inamtakia heri Keisha pamoja na mwanaye!
Keisha akipozi na mwanaye pamoja na watu waliofika…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

GPL

MSANII 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA LEO

Waombolezaji wakiwa wenye nyuso za simanzi. Bi Mwenda akiwa msibani leo. Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ enzi wa uhai wake.…

 

10 years ago

GPL

MSANII WA MAIGIZO 'MAMA MASHAKA' AFARIKI DUNIA

MSANII wa maigizo aliyewahi kuwika na kundi la Kaole Sanaa Group, Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ amefariki dunia. Mama Mashaka amefariki usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano za usiku katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala, jijini, Dar. Kwa habari zaidi tutaendelea kukujuza hapa .

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa (katikati) pamoja wakurugenzi wa Benki ya NMB wakikishangilia kikundi cha sanaa kilichotumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumika kwa mara ya kwanza kwa wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE 'SHISHI BABY'

Staa wa Filamu na Muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' akifunguka mambo mbalimbali kuhusu maisha yake katika Exclusive interview na Global TV Online! UNGANA NASI.

 

10 years ago

GPL

'MJUSI' WA TANZANIA AMBAYE MABAKI YAKE YALITOROSHEWA UJERUMANI

Haya ndo mabaki ya Mjusi kama yanavyoonekana Hii ndo sehemu ambako mabaki hayo yalipatikana UKIACHANA na Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro na hata madini ya Tanzanite, je, wajua kuwa Tanzania ina utajiri ambao ungekuwa kivutio kingine kwa watalaa nchini. Kivutio hicho kama kingekuwa hapa nchini ni mabaki ya wanyama aina ya mijusi wakubwa wa walioishi… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani