Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


'MJUSI' WA TANZANIA AMBAYE MABAKI YAKE YALITOROSHEWA UJERUMANI

Haya ndo mabaki ya Mjusi kama yanavyoonekana Hii ndo sehemu ambako mabaki hayo yalipatikana UKIACHANA na Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro na hata madini ya Tanzanite, je, wajua kuwa Tanzania ina utajiri ambao ungekuwa kivutio kingine kwa watalaa nchini. Kivutio hicho kama kingekuwa hapa nchini ni mabaki ya wanyama aina ya mijusi wakubwa wa walioishi… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

GPL

LAWRENCE KABENDE ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Mkuu wa kitengo cha Uhasibu Global, Lawrence Kabende, akikata keki ya 'bethidei' yake ofisini. Mfanyakazi wa Global, Davina Lema, akimlisha keki 'mzaliwa' Lawrence.…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND 'AMAZING' SHOO YAKE ALIYOFANYA LONDON YAACHA GUMZO

Musa Mateja
AMAZING! Hiyo ndiyo kauli pekee unayoweza kuitamka kuakisi shoo baab’kubwa aliyoifanya mkali wa wimbo wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’, London, Uingereza, Risasi Mchanganyiko linakujuza zaidi. Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ akipagawisha wakazi wa jiji la London. Shoo hiyo iliyoacha gumzo la aina yake nchini humo kutokana na kupata idadi kubwa ya mashabiki, ilifanyika...

 

10 years ago

GPL

MUSA MATEJA ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Musa Mateja (kushoto) akilishwa keki na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia). ...Akimlisha keki Abdallah Mrisho.…

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE: ADEBAYOR KUMWAGA 'UBUYU' MWINGINE WA MDOGO WAKE ROTIMI

Adebayor ametupia picha hii Facebook na kuahidi kutoa sehemu ya 2 ya stori ya kaka yake Rotimi. SAKATA la straika wa Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, Emmanuel Adebayor na familia yake limechukua sura mpya ambapo staa huyo ameahidi kutoa sehemu ya pili ya stori 'ubuyu' mwingine kuhusu kaka yake mwingine aitwaye Rotimi Adebayor muda muafaka ukifika. Adebayor ameahidi kutoa ubuyu huo ikiwa ni siku chache tangu aachie waraka...

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, LIU DONG AZINDUA TAMTHILIA YA TUOANE 'LETS GET MARRIED'

 Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Dong akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa Tamthilia mpya ya Tuonae ,Lets Get Married iliyichezwa na wachina na kutafsiriwa kwa kiswahili. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar e Salaam jana. Kulia ni Ofisa kutoka ubalozi wa China, ambaye alikuwa ni mkalimani wa balozi huyo, Yetianfa Attache.    Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Dong (kulia), akipeana mkono na Balozi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani