Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LAWRENCE KABENDE ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Mkuu wa kitengo cha Uhasibu Global, Lawrence Kabende, akikata keki ya 'bethidei' yake ofisini. Mfanyakazi wa Global, Davina Lema, akimlisha keki 'mzaliwa' Lawrence.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUSA MATEJA ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Musa Mateja (kushoto) akilishwa keki na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia). ...Akimlisha keki Abdallah Mrisho.…

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

11 years ago

GPL

RECHO AFANYA 'BETHIDEI', WASANII WENGI WATOKA NUSU UCHI

Winfrida Joseph a.k.a Recho akikata keki. Recho akiwa na rafiki yake katika pozi.…

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE 'SHISHI BABY'

Staa wa Filamu na Muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' akifunguka mambo mbalimbali kuhusu maisha yake katika Exclusive interview na Global TV Online! UNGANA NASI.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE YAJA NA KITU KIPYA 'NDANI YA 18'

Kwa sasa utaanza kupata habari motomoto kuhusu kandanda, ndondi, tennis, mishindano ya kuogelea, riadha na kikapu kutoka kwa Presenta wako Saleh Ally kila Ijumaa. STAY TURNED!

 

11 years ago

GPL

ALI CHOKI 'MZEE WA FARASI' ATINGA GLOBAL, ALONGA NA WANAHABARI

Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ali Choki akipozi ndani ya Global.
Ali Choki akisalimiana na Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Risasi, Joseph Shaluwa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani