Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALI CHOKI 'MZEE WA FARASI' ATINGA GLOBAL, ALONGA NA WANAHABARI

Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ali Choki akipozi ndani ya Global.
Ali Choki akisalimiana na Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Risasi, Joseph Shaluwa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ASHA BARAKA, ALI CHOKI SASA 'NO BEEF'

Ali Choki na Asha Baraka wakiwa ndani ya studio za Global TV Online leo wakati wa kumaliza bifu lao. BIFU lililodumu kwa muda mrefu kati ya Mkurugenzi wa Bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka na Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki leo limemalizika rasmi katika ofisi za Global Publishers Ltd zilizopo Mwenge, Bamaga jijini Dar. Wakongwe hao katika muziki wa dansi wameamua kumaliza tofauti zao na kuwa kitu kimoja huku...

 

11 years ago

GPL

ISSA MUSSA 'CLOUD 112' ATINGA GLOBAL TV ONLINE, AFANYIWA MAHOJIANO

Issa Mussa 'Cloud 112' akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Clouds 112 akipozi na wahariri wa Magazeti ya Global Publishers, Sifael Paul (kushoto) na Joseph Shaluwa (kulia).…

 

11 years ago

GPL

'PACHA WA KANUMBA' ATINGA GLOBAL TV ONLINE

Pacha anayefanana na Kanumba, Philimon Rutwaza, akiwa katika pozi. Philimon Rutwaza akisubiri mahojiano na Global TV Online.…

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

GPL

ALI KIBA AVUTA 'MAMBO' AZIMA

Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba akivuta ‘mambo’ (shisha). Dustan Shekidele, Moro KATIKA hali isiyo ya kawaida wananchi mkoani hapa wamejikuta wakipigwa butwaa mara baada ya kumshuhudia staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba akivuta ‘mambo’ (shisha) kisha ‘kuzima gari’ ukumbini....Soma zaidi===>http://goo.gl/x30ATx ...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE 'SHISHI BABY'

Staa wa Filamu na Muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' akifunguka mambo mbalimbali kuhusu maisha yake katika Exclusive interview na Global TV Online! UNGANA NASI.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE YAJA NA KITU KIPYA 'NDANI YA 18'

Kwa sasa utaanza kupata habari motomoto kuhusu kandanda, ndondi, tennis, mishindano ya kuogelea, riadha na kikapu kutoka kwa Presenta wako Saleh Ally kila Ijumaa. STAY TURNED!

 

10 years ago

GPL

MUSA MATEJA ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Musa Mateja (kushoto) akilishwa keki na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia). ...Akimlisha keki Abdallah Mrisho.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani