GLOBAL TV ONLINE YAJA NA KITU KIPYA 'NDANI YA 18'
Kwa sasa utaanza kupata habari motomoto kuhusu kandanda, ndondi, tennis, mishindano ya kuogelea, riadha na kikapu kutoka kwa Presenta wako Saleh Ally kila Ijumaa. STAY TURNED!
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL10 Mar
GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE 'SHISHI BABY'
Staa wa Filamu na Muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' akifunguka mambo mbalimbali kuhusu maisha yake katika Exclusive interview na Global TV Online! UNGANA NASI.
10 years ago
GPL24 Feb
11 years ago
GPLISSA MUSSA 'CLOUD 112' ATINGA GLOBAL TV ONLINE, AFANYIWA MAHOJIANO
Issa Mussa 'Cloud 112' akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Clouds 112 akipozi na wahariri wa Magazeti ya Global Publishers, Sifael Paul (kushoto) na Joseph Shaluwa (kulia).…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA SNURA MUSHI 'MAMAA MAJANGA' - PART II
Mwangalie na kumsikiliza msanii mahiri anayefanya vizuri katika muziki nchini Tanzania, Snura Mushi 'Mamaa Majanga' alipolonga na Global TV Online kupitia kipindi chake pendwa cha Mtu Kati. Ungana…
11 years ago
GPL'PACHA WA KANUMBA' ATINGA GLOBAL TV ONLINE
Pacha anayefanana na Kanumba, Philimon Rutwaza, akiwa katika pozi. Philimon Rutwaza akisubiri mahojiano na Global TV Online.…
10 years ago
GPLWAKALI WA HIP HOP ROMA MKATOLIKI NA KALA JEREMIAH WAILETA 'NCHI YA AHADI' GLOBAL TV ONLINE
Wanamuziki wa Hip hop, Roma Mkatoliki na Kala Jeremiah wakiwa katika studio za Global TV Online leo. Roma Mkatoliki (wa kwanza kulia) akijibu swali na mtangazaji wa Global TV Online, Mou Alfa (kushoto). Kati ni Kala Jeremiah. Mou Alfa (kushoto) akiwahoji wanamuziki Kala na Roma ndani ya studio za Global TV…
10 years ago
GPLOMMY DIMPOZ 'POZI KWA POZI' NAYE ATUA GLOBAL TV ONLINE LEO
Ommy Dimpoz akipoza kiu ndani ya studio za Global TV Online leo wakati akifanyiwa mahojiano. Dimpoz katika pozi murua ndani ya studio za Global TV Online leo.…
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
11 years ago
GPLALI CHOKI 'MZEE WA FARASI' ATINGA GLOBAL, ALONGA NA WANAHABARI
Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ali Choki akipozi ndani ya Global.
Ali Choki akisalimiana na Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Risasi, Joseph Shaluwa.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania