WEMA SEPETU AMREKODI 'BABY' WAKE AKIGONGA MENYU
Staa wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu amemrekodi mpenzi wake, Diamond Platnumz akipata msosi katika mghahawa wa Indian Cuisine (Video: Instagram)
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWEMA SEPETU 'MADAM' AKIWA RED CARPET DAR LIVE USIKU HUU
Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu akipozi katika red carpet ndani ya Dar Live usiku huu tayari kwa shindano la Ijumaa Sexiest Girl linalofikia tamati leo.
11 years ago
GPL10 Mar
GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE 'SHISHI BABY'
Staa wa Filamu na Muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' akifunguka mambo mbalimbali kuhusu maisha yake katika Exclusive interview na Global TV Online! UNGANA NASI.
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycSMJLRdfNOECPCubO-ldAQnxMpzyPPeC0-BBbPXdYjP0QO06spY8aJ8ZaNPymHutZjr2UlhkF*jVCVNOfeAGK0R/diammond.jpg)
WEMA, DIAMOND WANADAIWA KUFANYIANA 'TIMINGI' YA KUMWAGANA!
Diamond..Mh! Upepo mbaya unaivumia kapo ya mafahari wawili Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambapo wanadaiwa kufanyiana ‘taimingi’ ya kumwagana, Ijumaa Wikienda linakupa ‘ubuyu’ kamili. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu makini, wawili hao wamepotezeana kwa muda mrefu huku kila mmoja...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*CrqcuZV2*cnsG-*dgcGQtrkNM7lnXEDt07bXAgH*S00JduXB9DqV6htitv6PrHfZo58d7ZbXeQZ-qJEvSW4wtyM/wema.jpg)
KAN'TANGAZE: MAMA'KE DIAMOND ANASWA NYUMBANI KWA WEMA
Na Waandishi Wetu KANTANGAZE! Hiyo ndiyo kauli pekee inayoweza kuakisi picha za tukio la Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akiwa na ‘mkwewe’, Sanura Kasimu ‘Sandra’ wakiwa pamoja nyumbani kwa staa huyo wa filamu Bongo, Kijitonyama jijini Dar. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu akimnawisha Diamond Platinum kwa ajili ya kupata futari. Kwa mara ya… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMMAPU*irkQVcFKc79wmBfPk1sIdH3NA4028zoF98WWsdnt4Ew1Of1djrAnIL*D4pAG0XI0E3MbJ45lCCPodhjEI/FRONTAMANI.jpg?width=650)
NI SHEEDAH 'WEMA, AUNTY HUSAGANA'
Stori: Musa Mateja na Imelda Mtema Ni sheedah! Pamoja na kukanusha kwa kutumia nguvu kubwa, nyuma ya ushosti wa mastaa grade one wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Aunty Ezekiel kuna siri nzito ikidaiwa kwamba wawili hao husagana. Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Aunty Ezekiel wakidendeka hadhalani. TUKIO BICHI
Madai hayo ya muda mrefu huku wenyewe wakisisitiza si ya kweli,...
11 years ago
GPLIJUMAA WIKIENDA LAWAJAZA 'MAPESA' WASOMAJI WAKE
Dada Veronica (kushoto) mkazi wa Temeke akirudishiwa pesa na kutabasamu baada ya kukutwa na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul akisoma gazeti hilo. Mkazi wa eneo la Tandika Sokoni, Siasa akirudishiwa pesa kutoka kwa Mhariri wa Gazeti hilo.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYgHIoYOpySGxqgm9-ep*MdaLuc8soY7sajSjtLG2og4gg-OUuw9yYIj8OhgSsqod8hOAAu3UDdHZn*mNkxqYw25/mtoto.jpg?width=650)
'MTOTO WA NDEGE ZANZIBAR' AANIKA UCHAWI WAKE
Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima SAKATA la mtoto Happiness (10) aliyetikisa kwa tukio la kupanda ndege kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Zanzibar bila kujulikana limeibuka tena, safari hii katika sura mpya kufuatia mtoto huyo kufungua kinywa chake na kuanika mambo ya kichawi, Uwazi lina mkanda mzima. Mtoto Happiness  (10) anayeishangaza jamii kwa matukio ya kimazingara. Mtoto huyo aliyaanika mambo hayo mwishoni mwa...
11 years ago
GPLBIBI WA 'MTOTO WA BOKSI' ALIMLILIA MJUKUU WAKE
Bibi wa mtoto Nasrah Rashid, Bi. Asha Abdallah akilia kwa uchungu baada ya kupata taarifa za msiba wa mjukuu wake huko nyumbani kwake maeneo ya Mafisa mkoani Morogoro. Kushoto ni mwanae Khadija Hamisi. Bi. Asha akiwa na simanzi kwa kuondokewa na mjukuu wake Nasrah aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akitibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar.…
...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania