Watu 2 wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema, ni mafundi wake waliodaiwa kuiba
Nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi. Wema akiwa ndani kwake Akizungumza na Bongo5 jana, jirani wa Wema aliyetambulika kwa jina la Mama Steve, alisema tukio hilo lilitokea Ijumaa majira ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
TUKIO:Wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema
Nyumbani kwa muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi.
Wema akiwa ndani
Kwamujibu wa Bongo5 ambao walizungumza jana na jirani wa Wema aliyetambulika kwa jina la Mama Steve, alisema tukio hilo lilitokea Ijumaa majira ya saa 5 asubuhi mpaka saa 9 jioni.
“Waliopigwa na kulazwa chini uchi wa mnyama ni mafundi ambao wanakujaga kila siku kumtengenezea Wema nyumba...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Operesheni Safisha Jiji Arusha shubiri kwa mafundi nguo
OPERESHENI Safisha Jiji ya kuwaondoa machinga wanaouza bidhaa zao barabarani ilianza mwaka 2012 kama ilivyokubalika kwenye Baraza la Madiwani wa Jiji la Arusha. Licha ya mwaka jana operesheni hiyo kufanikiwa, mwaka...
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Wapinga 'kuvuliwa' nguo Kenya
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Mbunge adai kuvuliwa nguo bungeni,Kenya
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
Mji wa Delhi : Wanawake wakiislamu wazungumzia vile walivyochomewa nyumba na kuvuliwa nguo
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Mwanamke anayeendesha maisha kwa kufua nguo NYumbani
10 years ago
GPL
WASULUBIWA NYUMBANI KWA WEMA
10 years ago
GPL
KIPINDUPINDU CHANYEMELEA NYUMBANI KWA WEMA