Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUKIO:Wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema

Nyumbani kwa  muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi.

Wema akiwa ndani

Kwamujibu wa  Bongo5 ambao walizungumza jana na jirani wa Wema aliyetambulika kwa jina la Mama Steve, alisema tukio hilo lilitokea Ijumaa majira ya saa 5 asubuhi mpaka saa 9 jioni.

“Waliopigwa na kulazwa chini uchi wa mnyama ni mafundi ambao wanakujaga kila siku kumtengenezea Wema nyumba...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Watu 2 wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema, ni mafundi wake waliodaiwa kuiba

Nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi. Wema akiwa ndani kwake Akizungumza na Bongo5 jana, jirani wa Wema aliyetambulika kwa jina la Mama Steve, alisema tukio hilo lilitokea Ijumaa majira ya […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapinga 'kuvuliwa' nguo Kenya

Wanawake mjini Nairobi leo wameandamana kupinga kitendo cha mwanamke mmoja kuvuliwa nguo kwa madai kuwa alikuwa amevalia sketi fupi sana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbunge adai kuvuliwa nguo bungeni,Kenya

Mbunge mmoja mwanamke nchini Kenya sasa amejitokeza na kudai kwamba wabunge watatu wanaume walijaribu kumvua nguo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mji wa Delhi : Wanawake wakiislamu wazungumzia vile walivyochomewa nyumba na kuvuliwa nguo

Ghasia za kidini katika mji mkuu wa India zimesababisha maelfu ya watu kutoroka makazi yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke anayeendesha maisha kwa kufua nguo NYumbani

Kati ya wanawake ambao wanaamini kuwa mafanikio hayaji bila kujituma kwa kufanya kazi kwa bidii ni Salome Sanga (58).

 

10 years ago

Bongo Movies

Kwa tukio hili, Wema sepetu na Diamond hakuna kinachoendelea tena. kila mtu kwaooooo!

diamond-na-wema

Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao, ishu ya kumwagana ilikuwepo muda mrefu lakini kinachoendelea ni kuwazuga mashabiki wao ili wasishuke...

 

10 years ago

GPL

WASULUBIWA NYUMBANI KWA WEMA

Stori: Gladness Mallya na Musa Mateja
JAMAA wawili, mmoja fundi umeme, Rashid Balazi na Juma Bushiri wanadaiwa kunusurika kifo baada ya kutekwa na kusulubiwa nyumbani kwa msanii wa sinema za Kibongo, Wema  Sepetu  wakituhumiwa kukwapua simu ya bei mbaya ya mpambe wa mwanadada huyo, Petit Man, Amani limeichimba kwa kina. Rashid Balazi akiwa na jeraha begani baada ya kutekwa na kupigwa. TUJIUNGE NA MANUSURA
Wakielezea...

 

9 years ago

GPL

KIPINDUPINDU CHANYEMELEA NYUMBANI KWA WEMA

Brighton Masalu Taarifa za ugonjwa wa kipindupindu zimebadili mfumo wa maisha ya watu wengi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha maeneo wanayoishi ni masafi lakini nyumbani kwa msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Kijitonyama jijini Dar hali ni tofauti..  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1LFlwUH

 

10 years ago

GPL

MASAI APELEKA BARUA YA UCHUMBA NYUMBANI KWA WAZAZI WA WEMA SEPETU

Mmasai wa Kigoma, Ayoub Nyembo ‘Masai’ akimpa 'dairekshen' mshenga wake kufika kwa Mama mkwe.  GOOD news? Habari mpya kutoka kwa mlimbwende asiyechuja Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam au Beautiful Onyinye’ ni kwamba, Mmasai wa Kigoma, Ayoub Nyembo ‘Masai’ ameibuka na kupeleka barua ya uchumba nyumbani kwa wazazi wa mrembo huyo, Sinza-Mori jijini Dar, Ijumaa Wikienda lina mkanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani