Wafanyabiashara Buhongwa wahofia kuugua kipindupindu
Wafanyabiashara wa Soko la Buhongwa Manispaa ya Nyamagana jijini Mwanza, wamesema kuwa wana hofu ya kukumbwa na kipindupindu kutokana na mrundikano wa taka kwenye dampo lililopo eneo hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Vita ya kipindupindu yaanzia kwa wafanyabiashara
11 years ago
Mwananchi06 May
Wamachinga Igoma, Buhongwa kuondolewa
10 years ago
GPLMADEREVA WA HAISI IGOMA BUHONGWA WAMBANA KIONGOZI WAO KUHUSU MGOMO
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Nusu ya waingereza kuugua saratani
10 years ago
Dewji Blog30 Nov
JK alificha siri ya kuugua saratani!
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na waandishi wa habari na viongozi mbalimbali waliokuja kumlaki baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu jana.
*Mama Salma alijua miezi nane baadaye
*Aeleza alivyokuwa akihamanika na siri
RAIS Jakaya Kikwete, amerejea nchini akiwa mzima wa afya na kuelezea Watanzania namna alivyoficha siri ya kuugua saratani kwa zaidi ya mwaka mmoja, huku akihamanika moyoni...
10 years ago
Uhuru NewspaperNdugai akanusha uvumi wa yeye kuugua
NA MOHAMMED ISSABAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu na kutoonekana kwenye shughuli mbalimbali, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai ameibuka na kusema yupo hai na ni mzima wa afya. JOB NdugaiNdugai ambaye tokea kuanza kwa mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania alikuwa hajaongoza kikao chochote. Muda mwingi katika kikao hicho, kilikuwa kikitumia wenyeviti wakati Spika, Anne Makinda, anapokuwa hayupo bungeni. Akizungumza na Uhuru kwa njia ya simu jana, Ndugai (Kongwa-CCM),...
11 years ago
GPLAUNT ASHINDWA KUFUTURISHA, KISA KUUGUA
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Chanzo cha kuugua mkanda wa jeshi