AUNT ASHINDWA KUFUTURISHA, KISA KUUGUA
![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfASk4plZbcBxOoLu6vxIjj-oFIQZhz288oXH8G*T8eWAkbA5L-8CeHDIQ0BXzSA5*kTto8DQU7s5yUXzAAJL-ZF/aunty.jpg)
Stori: mayAsa mariwata STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel ameshindwa kutimiza azma yake ya kufuturisha pamoja na kuwaombea dua wasanii walioaga dunia kutokana na kuugua na kulazwa. Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel. Awali msanii huyo alitangaza kufanya tukio hilo Jumanne iliyopita lakini Mungu hakutaka atimize lengo lake hilo kufuatia kukumbwa na malaria ya nguvu pamoja na presha. “Nasikitika sana nimeshindwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM20 Jan
JAY MOE ASHINDWA KUTOA ALBAM KISA KUKOSA MWAMKO WA ALBUM ZA BONGO FLEVA HIVI SASA.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ve0GOSCWJajDustYvPAIv5giXGwUXTCZNoEub2ddODUUNhKuNEWKCAGoD3SNM0kpvYSufTINsgcnDAKIdOIAmlZC7LLvBB43/WEMA.jpg?width=650)
WEMA, AUNT KIMENUKA KISA ZARI
10 years ago
Bongo Movies06 May
Ubuyu:Wema, Aunt Kimenuka Kisa Zari
Gazeti la Risasi la leo limeripoti kuwa Mataa wa bongo movies ambao ni mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt ‘kuposti’ kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ iliyofanyika Mlimani City jijini Dar wikiendi iliyopita.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mastaa hao wa sinema za Kibongo, baada ya Aunt kuposti...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi67PonSbx*DYFukE2T5*Ne-uG2skLm3A7RrYEsNE1xOVCXOnpHkdn4LI2EQBrWiaNVfnDaDjBY0cIi659h02SsGq/auntezekiel4.jpg?width=650)
ETI KISA KWENDA UKAWA; WASANII WAMPONDA AUNT
10 years ago
Bongo Movies20 May
Msala wa Aunt Ezekiel apewa Monalisa, Kisa Kufanana!
Kutoka Mtandaoni: Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel aliweka picha hiyo hapo mtandaoni akiwa na staa mwenzake, Monalisa nakuwauliza mashabiki kama wawili hao wanafanana huku akikumbushia msala mabao aliufanya yeye na kukamatwa Monalisa.
“Eti tumefanana???Nishawahi kukosa mm akakamatwa yy jaman!!! Mi sijui ww je?Mtag kama unajuana nae bac....!!!”- Aunty aliandika.
Monalisa Ajibu
Monalisa naye kamjibu Aunty kwa kuweka picha hiyo kwenye ukurasa wake na...
10 years ago
Bongo Movies30 Apr
Aunt Ezekiel Awatega Team Wema, Kisa Ujumbe wa Zari-All White Party
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amewaacha njia panda mashabiki ‘kindaki ndaki’ wa Wema sepetu maarufu kama team Wema baada ya kuweka ‘screenshot’ ya ujumbe wa tangazo la pati ya mwanadada Zari inayofahamika kama Zari All While Party.
Aunt alibandika picha hiyo (hapo juu) na kuandika maneno haya kuonyesha kuwa mekelwa na ujumbe huo.
“Voda Voda hivi Voda mnantafuta nini lakini....ya kwanza nimenyamaz ya pili nimewajibu hamsikii hii ya tatu sasa Nawauliza Mnanitaka nini Au mmetumwa???Plz...
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
Aunt Ezekiel Aporomosha Maneno Machafu, Kisa Picha Akiwa Kiwanja Anakula Bata!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo ambacho kwa maoni ya mashabiki hao hakistahili kuvaliwa na mwanamke mjamzito na kibaya zaidi alionekana mkononi ameshika shupa ambao wengi waliiona kama niyakilevi.
Aunty Ezekiel alibandika picha hiyo hapo juu hivi juzi kati akiwa na jamaa kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuandika maneno “My best...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGYrqGHXFR09QjiQos1nX8jHUQuMF8nkGozFuSoi*DhvrO8TPUQwURfqOhO5nJFwqLkV*cNtLAp5ql82pUHNwkH5/mastaa.jpg?width=650)
MASTAA WAPONDWA KWA KUFUTURISHA...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRbSdhBANmt5SfGzjqMUzafsSy8LdQzcd7sGHkeqbBCLyc1jjtenkfSadD8kbmMXT1ZuTiNA8iFCLV2wWFBAoB6c/BATULI.jpg?width=650)
BATULI APINGA KUFUTURISHA WENYE NAZO