Aunt Ezekiel Aporomosha Maneno Machafu, Kisa Picha Akiwa Kiwanja Anakula Bata!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo ambacho kwa maoni ya mashabiki hao hakistahili kuvaliwa na mwanamke mjamzito na kibaya zaidi alionekana mkononi ameshika shupa ambao wengi waliiona kama niyakilevi.
Aunty Ezekiel alibandika picha hiyo hapo juu hivi juzi kati akiwa na jamaa kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuandika maneno “My best...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies09 Sep
Haya Ndiyo Maneno Aliyoandika JB Juu Ya Picha Hizi Akiwa na Shamsa na Aunt
Kufuatia tofauti za kimitazamo ya kisiasa baina ya mastaa hawa, ambapo JB akiwa upande wa CCM wakati Shamsa na Aunt Ezekiel wakiwa UKAWA, JB kiutani kupitia ururasa wake mtandaoni ameibuka na hii kuonyesha kuwa siasa sio vita.
Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)...watu wamepaniki sana...Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo...mashabiki... Daah .. Daah...Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia...Tunashirikiana....Mashabiki...
10 years ago
Bongo Movies20 May
Msala wa Aunt Ezekiel apewa Monalisa, Kisa Kufanana!
Kutoka Mtandaoni: Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel aliweka picha hiyo hapo mtandaoni akiwa na staa mwenzake, Monalisa nakuwauliza mashabiki kama wawili hao wanafanana huku akikumbushia msala mabao aliufanya yeye na kukamatwa Monalisa.
“Eti tumefanana???Nishawahi kukosa mm akakamatwa yy jaman!!! Mi sijui ww je?Mtag kama unajuana nae bac....!!!”- Aunty aliandika.
Monalisa Ajibu
Monalisa naye kamjibu Aunty kwa kuweka picha hiyo kwenye ukurasa wake na...
10 years ago
Bongo Movies30 Apr
Aunt Ezekiel Awatega Team Wema, Kisa Ujumbe wa Zari-All White Party
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amewaacha njia panda mashabiki ‘kindaki ndaki’ wa Wema sepetu maarufu kama team Wema baada ya kuweka ‘screenshot’ ya ujumbe wa tangazo la pati ya mwanadada Zari inayofahamika kama Zari All While Party.
Aunt alibandika picha hiyo (hapo juu) na kuandika maneno haya kuonyesha kuwa mekelwa na ujumbe huo.
“Voda Voda hivi Voda mnantafuta nini lakini....ya kwanza nimenyamaz ya pili nimewajibu hamsikii hii ya tatu sasa Nawauliza Mnanitaka nini Au mmetumwa???Plz...
11 years ago
GPLSIMULIZI YA AUNT EZEKIEL: ILIKUWA AOLEWE AKIWA MDOGO, AKATOROKA NYUMBANI KWAO!
10 years ago
Bongo530 Oct
Picha: Aunt Ezekiel ni mama kijacho?
10 years ago
Bongo Movies13 May
Mashabiki Wachukizwa na Picha Hizi za Aunt Ezekiel
Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye ni mjamzito.
Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.
Wewe je, unamaoni gani juu ya hizi
10 years ago
Bongo522 Dec
Tyga apanga kumchukua mwanae kutoka kwa Blac Chyna akidai mama yake anakula bata 24/7
10 years ago
Bongo Movies05 Aug
Picha : ‘Bethidei’ Party ya Mzazi Mwenza wa Aunt Ezekiel , Moses Iyobo ya Kusanya Mastaa Kibao
Hizi ni baadhi ya picha za kwenye sherehe ya kuzaliwa ya siku ya kuzaliwa ya Moses Iyobo ambaye ni baba wa mototo wa Aunt Ezekiel .
Mastaa wengi wajikitokeza kwenye sherehe hiyo jionee.