Picha: Aunt Ezekiel ni mama kijacho?
Picha ya Aunt Ezekiel kwenye Instagram imeibua mjadala huku mashabiki wake wakisema ni mjamzito. Aunt Ezekiel akimlisha keki JB Picha hiyo ya Aunt Ezekiel ilipigwa katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Hivi ndivyo baadhi ya mashabiki wake walivyoandika: Ayshasunshin :Your pregnancy congratulations Mrkhalfan1: haaa we una mimba na hilo bonge lenye miwani pia lina […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies13 May
Mashabiki Wachukizwa na Picha Hizi za Aunt Ezekiel
Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye ni mjamzito.
Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.
Wewe je, unamaoni gani juu ya hizi
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
Aunt Ezekiel Aporomosha Maneno Machafu, Kisa Picha Akiwa Kiwanja Anakula Bata!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo ambacho kwa maoni ya mashabiki hao hakistahili kuvaliwa na mwanamke mjamzito na kibaya zaidi alionekana mkononi ameshika shupa ambao wengi waliiona kama niyakilevi.
Aunty Ezekiel alibandika picha hiyo hapo juu hivi juzi kati akiwa na jamaa kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuandika maneno “My best...
10 years ago
Dewji Blog22 May
Staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel sasa ni Mama COOKIE!! ajifungua mtoto wa kike
Aunt Ezekiel
Na Andrew Chale, Modewji blog
Ilikuwa si rahisi kama ilivyojulikana na wengi hasa kwa namna ya ‘fans’ wa staa wa filamu za Bongo maalufu Bongo Movie, kujua hatma ya ujauzito wake ambao ulikuwa ukifuatiliwa na wengi. staa huyo si mwingine ni Aunty Ezekiel (pichani), katika kipindii chote cha ujauzito wake. Lakini kwa neema za Mungu, Asubuhi ya Mei 21.2015, staa huyo aliweza kuifungulia dunia kwa kumleta mtoto wa kike.
Hata hivyo, Mtoto huyo tayari jina lake limeshajulikana...
10 years ago
Bongo Movies05 Aug
Picha : ‘Bethidei’ Party ya Mzazi Mwenza wa Aunt Ezekiel , Moses Iyobo ya Kusanya Mastaa Kibao
Hizi ni baadhi ya picha za kwenye sherehe ya kuzaliwa ya siku ya kuzaliwa ya Moses Iyobo ambaye ni baba wa mototo wa Aunt Ezekiel .
Mastaa wengi wajikitokeza kwenye sherehe hiyo jionee.
10 years ago
Bongo Movies01 May
10 years ago
Vijimambo
CHEZEA MAMA KIJACHO WEWEE

11 years ago
Michuzi06 Oct
9 years ago
Bongo502 Dec
Music: Tunda Man – Mama Kijacho

Msanii Tunda Man ameachia wimbo mpya unaitwa “Mama Kijacho”. Studio A.M Records
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...