Mashabiki Wachukizwa na Picha Hizi za Aunt Ezekiel
Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye ni mjamzito.
Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.
Wewe je, unamaoni gani juu ya hizi
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
Picha: Una Zungumziaje Picha Hizi za Wema na Aunty Ezekiel Wakiwa na Rafiki Yao Nice Chande
Boxing Day Moments: Baada ya hapo jana kuwa kwenye pilikapilika za siku kuu leo wengi wetu tumepumzika na kupiga stori za hapa na pale na jamaa zetu.Turudi kwenye mada.
Leo nilipoziona picha hizi za wadada hawa, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na rafiki yao Nice Chande wakiwa wamejilaza kitandani namna hii kwa haraka haraka nikahisi huu utakuwa ni uchovu wa siku kukuu kwani wanaonekana kama wapo “Cool” sana.Ila nilipotulia kidogo nikaona kitu ambacho ndicho kilichonifanya hizilete hapa picha...
10 years ago
Bongo530 Oct
Picha: Aunt Ezekiel ni mama kijacho?
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
Aunt Ezekiel Aporomosha Maneno Machafu, Kisa Picha Akiwa Kiwanja Anakula Bata!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo ambacho kwa maoni ya mashabiki hao hakistahili kuvaliwa na mwanamke mjamzito na kibaya zaidi alionekana mkononi ameshika shupa ambao wengi waliiona kama niyakilevi.
Aunty Ezekiel alibandika picha hiyo hapo juu hivi juzi kati akiwa na jamaa kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuandika maneno “My best...
10 years ago
Bongo Movies05 Aug
Picha : ‘Bethidei’ Party ya Mzazi Mwenza wa Aunt Ezekiel , Moses Iyobo ya Kusanya Mastaa Kibao
Hizi ni baadhi ya picha za kwenye sherehe ya kuzaliwa ya siku ya kuzaliwa ya Moses Iyobo ambaye ni baba wa mototo wa Aunt Ezekiel .
Mastaa wengi wajikitokeza kwenye sherehe hiyo jionee.
9 years ago
Bongo Movies09 Sep
Haya Ndiyo Maneno Aliyoandika JB Juu Ya Picha Hizi Akiwa na Shamsa na Aunt
Kufuatia tofauti za kimitazamo ya kisiasa baina ya mastaa hawa, ambapo JB akiwa upande wa CCM wakati Shamsa na Aunt Ezekiel wakiwa UKAWA, JB kiutani kupitia ururasa wake mtandaoni ameibuka na hii kuonyesha kuwa siasa sio vita.
Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)...watu wamepaniki sana...Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo...mashabiki... Daah .. Daah...Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia...Tunashirikiana....Mashabiki...
10 years ago
Bongo Movies15 Dec
Picha Hizi Za Wastara Za Kulazwa Hospitali Zawaacha Mashabiki Njia Panda
Picha hizi za muigizaji, Wastara Juma,akiwa hospitali amelazwa baada ya kufanyiwa vipimo zimewaacha mashabiki katika njia panda, wengine wakiamini anaumwa na kuanza kuampa pole huku wengine wakiamini yupo kazini yaani anatengeneza filamu.
Picha hizi aliziweka Wastara mwenyewe mtandaoni bila ya kuandika chochote, na hadi sasa ajajibu hata comment moja kutoka kwa followers wake ambao wanataka athibitisha kama kweli ni mgojwa.
Bongomovies.com haikufanikiwa kumpata Wastara kwa njia ya simu...
10 years ago
Bongo Movies01 May
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRTgBwuFfyuAuJnc6PwuTbY7fCtyoJ2sPPJdvIouhEa9aBRQKyBs6ObNGMiA1SL9pWUQrPAKH5veLvQ40RmSUPJ/BACK.jpg)
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL