MASTAA WAPONDWA KWA KUFUTURISHA...
![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGYrqGHXFR09QjiQos1nX8jHUQuMF8nkGozFuSoi*DhvrO8TPUQwURfqOhO5nJFwqLkV*cNtLAp5ql82pUHNwkH5/mastaa.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu VIONGOZI kadhaa wa dini ya Kiislamu jijini Dar, wamewaponda baadhi ya watu maarufu wanaotumia fedha nyingi kuwafuturisha watu kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, wakisema jambo hilo ni sawa na unafiki na kujionyesha. Aunt Ezekiel (aliyesimama mbele), akihudumia chakula eneo hilo,huu ulikuwa ni mfungo wa mwaka jana. Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, viongozi hao wamesema kufuturisha ni...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Uteuzi Wajumbe Bunge la Katiba wapondwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRbSdhBANmt5SfGzjqMUzafsSy8LdQzcd7sGHkeqbBCLyc1jjtenkfSadD8kbmMXT1ZuTiNA8iFCLV2wWFBAoB6c/BATULI.jpg?width=650)
BATULI APINGA KUFUTURISHA WENYE NAZO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfASk4plZbcBxOoLu6vxIjj-oFIQZhz288oXH8G*T8eWAkbA5L-8CeHDIQ0BXzSA5*kTto8DQU7s5yUXzAAJL-ZF/aunty.jpg)
AUNT ASHINDWA KUFUTURISHA, KISA KUUGUA
10 years ago
Dewji Blog15 Jul
Kampuni ya TIGO yatoa zawadi ya Eid na kufuturisha mkoani Singida
Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe (mwenye miwani)akikabidhi zawadi za sikukuu ya Eid kwa Msemaji mkuu wa msikiti wa Taqwa Singida Mjini, Sheikh Saad Mhando kabla ya kupata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo mkoani humo.
Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe (mwenye miwani)akiwa pamoja na Masheikh na watoto wa Msikiti wa Taqwa mjini Singida kwenye dua ya pamoja.
Wahuduma wa chakula wakitoa huduma kwa waalikwa.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9v6ExvqiI88/VYrdoGofoJI/AAAAAAAHjkk/ObEscIKNcVw/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
Airtel yatoa 20m/- kufuturisha Vituo vya watoto yatima nchini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxY86mIhSd1SkilbzSd1sHMUhbJLy3nt4AkE-9m2oiCzgzDfjO5mZUemaejGaS1vIRh-d9BPEXH*Ma5pOUp424Oj/CATHY.jpg?width=650)
ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
10 years ago
Bongo Movies31 May
JB Ampongeza Nisha kwa Jambo Hili, Nifunzo kwa Mastaa Wengine
Kutoka Mtandaoni: Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ amempongeza staa mwenzake Salma Jabu ‘Nisha’ kwa jitihada zake za kuzitangaza kazi zake zaidi kupitia ukursa wake kwenye mtandao picha wa Instagram ambapo hadi leo anawatu zaidi ya laki moja na nusu wanao mfuatilia.
Napenda kuongea kutokana moyoni kwamba navutiwa na jinsi dada huyu anavyo jitahidi.hongera.kila nikipitia acc yako mara nyingi unaongelea juu ya kazi zako.hongera. endelea kupambana,”JB aliandika hayo mara baada...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OmzXdzxeBqz6S05InkBIYExJEniSrZNl*eniZCCF20al662xExmk7tX13AGQlcVLNXzoR4Do6wq5jFDOVXu2NDucqmiTTy0G/adiamond.jpg?width=650)
MASTAA WAJITONGOZESHA KWA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgbRJrEayqaOsjNNNJ4xs382mmhb0T-ktkljcGKlH74khofRW1Q5eL1-Bns5nAciwuyT9GBcE-aa15uBxCqnItew/MASTAA.jpg?width=650)
MASTAA WANAOONGOZA KWA SKENDO ZA NGONO