Airtel yatoa 20m/- kufuturisha Vituo vya watoto yatima nchini
![](http://4.bp.blogspot.com/-9v6ExvqiI88/VYrdoGofoJI/AAAAAAAHjkk/ObEscIKNcVw/s72-c/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
Airtel Tanzania imetoa Tsh Milioni 20 kwa Jumuiya ya Waislamu kupitia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa lengo la kufuturisha vituo kumi vya kulelea watoto yatima nchini. Akikabidhi hundi kwa Naibu katibu Mkuu wa Bakwata Meneja Huduma za Jamii wa Airtel Hawa Bayumi alisema vituo vitakavyopata msaada huo ni pamoja na Kigogo Fresh orphanage cha Ilala, IHSANI orphanage cha Temeke, Almadina center kinondoni.Pia kwa Arusha ni Kiboa Islamic orphanage, Nusuru yatima orphanage Bukoba,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2inSDNpbgZ0/U9JcmslRlaI/AAAAAAACmOA/HmEmYqimzxk/s72-c/Chakuwama_Said+Hassan%2528Chakuwama%2529.jpg)
PSPF YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-2inSDNpbgZ0/U9JcmslRlaI/AAAAAAACmOA/HmEmYqimzxk/s1600/Chakuwama_Said+Hassan%2528Chakuwama%2529.jpg)
5 years ago
MichuziBenki ya Exim Yatoa Msaada wa Vyakula Kwa Ajili Ya Sikukuu ya Eid Kwenye Vituo Vya Kulelea Watoto Yatima Mikoa ya Minne.
Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) unaotekelezwa na benki hiyo unaofahamika kwa jina "Exim Cares", msaada huo ulilenga kuwawezesha watoto hao waweze kufurahia Sikukuu ya Eid-Ul-Fitr.
Kwa upande wa jiji la Dar es Salaam...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GuMFUomkurY/VOq4RN-S97I/AAAAAAAC0QM/mOWBoB-oON0/s72-c/1.jpg)
MSAMA PROMOTIONS LTD YAMWAGA MISAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA, YALAANI MAUAJI YA ALBINO YANAYOENDELEA NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-GuMFUomkurY/VOq4RN-S97I/AAAAAAAC0QM/mOWBoB-oON0/s1600/1.jpg)
Msama amekabidhi misaada hiyo kwa vituo vitano...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/hFvvNEUpFUY/default.jpg)
KAMPUNI ya Msama Promotions YATOA MSAADA WA VITU MBALI MBALI KWA VITUO 10 VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR
KAMPUNI ya Msama Promotions chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, jana ilikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo 10 vya kulea yatima ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia makundi maalumu katika jamii.
Akikabidhi misaada hiyo katika ofisi zake zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Msama alisema misaada hiyo ni sehemu ya fedha za mauzo ya DVD za Tamasha la Pasaka la mwaka huu.
Msama alisema kupitia mauzo ya DVD za Tamasha hilo ambalo lilifanyika April 6 katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Mkurugenzi Alex Msama amwaga misaada kwa vituo vya watoto yatima, alaani mauaji ya Albino yanayoendelea nchini
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Halima Ramadhan Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwadaliwa kilichopo Tegeta jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni moja ya misaada inayotolewa katika vituo mbalimbali vya kulelea watoto yatima wakati wa msimu huu wa maadalizi ya Tamasha la Pasaka linalotimiza miaka 15 tangu lianzishwe.
Tamasha hilo Litafanyika jijini Dar es salaam Aprili 7...
10 years ago
MichuziAIRTEL YAKABIDHI FUTARI KWA WATOTO YATIMA KATIKA VITUO VITATU MKOANI DAR ES SALAAM.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9_Yp-0iaPaQ/U7--RiGq0LI/AAAAAAAA6Wg/HCnwL8_W73A/s72-c/0.1airtel+mwanza4.jpg)
AIRTEL YATOA FUTARI KWA WATOTO YATIMA MKOANI MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-9_Yp-0iaPaQ/U7--RiGq0LI/AAAAAAAA6Wg/HCnwL8_W73A/s1600/0.1airtel+mwanza4.jpg)
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Serikali yafunga vituo vya watoto yatima
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imevifunga baadhi ya vituo vya kulelea watoto yatima katika maeneo mbalimbali nchini kwa kukiuka sheria ya uanzishwaji wake na wamiliki kujinufaisha binafsi.
Sambamba na hilo, pia imefuta kutoka kwenye orodha ya kutoa huduma ya kulea watoto yatima baadhi ya vituo vya aina hiyo vilivyo kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Kilimanjaro, huku vile vya mkoani Iringa vikiendelea kufanyiwa uchunguzi.
Tangazo la kufungwa na kufutwa kwa vituo hivyo...
9 years ago
Dewji Blog01 Jan
TTCL yatoa zawadi ya mwaka mpya kwa vituo vya Yatima Dar!!
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Thomas (kushoto) kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza na wanahabari mara baada ya kukabidhi sehemu ya msaada wa chakula kwa ajili ya Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016 kwa vituo vitatu vya watoto yatima Dar es Salaam. Kulia ni Mlezi wa Watoto na Vijana wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kiwohede, Stella Mwambenja.
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL),...