Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAKABIDHI FUTARI KWA WATOTO YATIMA KATIKA VITUO VITATU MKOANI DAR ES SALAAM.

 Meneja wa huduma kwa jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia) akiongea na wawakilishi wa vituo vitatu vya watoto yatima baada ya kukakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vya mfungo wa Ramadhani kwa wawakilishi wa vituo vya kulelea watoto waliokatika mazingira magumu. Vituo vilivyopata msaada huo ni pamoja na  Almadina cha Tandale, Dogodogo cha Kigogo na Hisani cha Mbaga .wakishuhudiwa na baadhi ya watoto waishio katika vituo hivyo, katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

AIRTEL YATOA FUTARI KWA WATOTO YATIMA MKOANI MWANZA


Meneja  Biashara Kanda ya Ziwa Raphael Daudi (wa tatu kutoka kulia) akiwa na Meneja wa Masoko Kanda Emanuel Raphael (wa kwanza kulia) pamoja na  Meneja wa Airtel mkoa wa Mwanza David Wankulu wakikabidhi msaada wa chakula cha kufuturisha katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani  kwa Katibu mkuu wa Jumuiya ya Kuendeleza Quran na Suna Tanzania (JUQUSUTA)  Twaha bin Bakari Utari (wa tano kutoka kulia) akiwa katika picha na wadau wengine wa Kituo cha watoto yatima cha Sharif Said Al-Bith kilichopo...

 

10 years ago

Michuzi

JK awaandalia Futari Watoto Yatima Ikulu Dar es salaam

 Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni.Rais...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aandaa futari kwa yatima, walemavu wa ngozi na watoto waishio kwenye mazingira magumu ikulu Dar es salaam

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniRais Kikwete akipakua futari  na wageni wake Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika...

 

10 years ago

Michuzi

ALEX MSAMA AMWAGA ZAWADI ZA KRISMAS KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM

1Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam leo wakati alipokabidhi msaada wa vyakula kwa vituo mbalimbali vya jijini Dar es salaam ikiwa ni zawadi yake ya sikukuu ya Krismas kwa vituo hivyo, Bw. Alex Msama amesema pia katika Tamasha la Pasaka litakalofanyika kesho wakati wa sikukuu ya Krismas mkoani Mbeya, kiasi cha fedha zitakazopatikana ...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAKABIDHI MISAADA KWA VITUO VITATU VYA JIJINI DAR.

Mkurugenzi wa Msama Promotions,Alex Msama akimkabidhi Mkurugenzi wa kituo cha Mwandaliwa Islamic Orphans,Halima Mpeta (kushoto),hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano kwa ajili ya kulipia ada za shule za watoto hao Mkurugenzi wa Msama Promotions,Alex Msama akiwapa vifaa vya shule watoto wa kituo cha TOVICHIDO. Sehemu ya misaada hiyo ya vitu mbalimbali iliyotolewa na Kampuni ya Msama Promotions, kwa vituo vitatu vya watoto waishio katika mazingira magumu. Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA YATIMA, WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM‏

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni…

 

10 years ago

Michuzi

NexLaw Advocates watembelea Vituo viwili vya kulelea watoto yatima jijini Dar es salaam

Ikiwa moja kati ya huduma zake za ‘Corporate Social Responsibility’ kwa jamii zitolewazo na NexLaw Advocates tarehe 4 April 2015 NexLaw Advocates ilitembelea vituo viwili vya watoto jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka. Vituo vilivyotembelewa na kampuni ya NexLaw Advocates ni House of Blue Hope ya Mabibo ambacho ni kituo cha kulelea watoto yatima na wasiojiweza na kituo cha watoto cha Msimbazi Children’s Home Centre cha Msimbazi jijini Dar es Salaam Home...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yatoa 20m/- kufuturisha Vituo vya watoto yatima nchini

Airtel Tanzania imetoa Tsh Milioni 20 kwa Jumuiya ya Waislamu kupitia Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa lengo la kufuturisha vituo kumi vya kulelea watoto yatima nchini. Akikabidhi hundi kwa Naibu katibu Mkuu wa Bakwata Meneja Huduma za Jamii wa Airtel Hawa Bayumi alisema vituo vitakavyopata msaada huo ni pamoja na Kigogo Fresh orphanage cha Ilala, IHSANI orphanage cha Temeke, Almadina center kinondoni.Pia kwa Arusha ni Kiboa Islamic orphanage, Nusuru yatima orphanage Bukoba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani