Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAY MOE ASHINDWA KUTOA ALBAM KISA KUKOSA MWAMKO WA ALBUM ZA BONGO FLEVA HIVI SASA.

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Jay Moe,ambaye alikuwa kimya kwa kipindi kirefu mara ya mwisho alikuwa na deni kwa mashabiki wake la Mchongo wa deni la Album ya Mocumental. Album hiyo ilikuwa itoke zaidi ya miaka 3 iliyopita yaani kabla hata album hazijaanza kubuma kuuzika,Jay moe kila alipokuwa akiiulizwa kuhusu albam hiyo hakuawa na majibu sahihi lakini ameamua kufunguka kuwa sababu ni kukosa mwamko katika uuzaji wa albamu za muziki wa Bongo Fleva.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo Movies

Alichosema Jay Moe kuhusu kutofanya collabo na wakongwe wa Bongo fleva

 

Mashabiki wengi hujiuliza inakuaje kwenye upande wa Bongo Fleva mastaa wakongwe katika game hii wanashindwa kufanya collaboration wao kwa wao , ugumu unakuwa wapi?? Je ni kwamba ladha ya muziki itapungua kutokana na wao kuwa wakongwe katika muziki?

Majibu yote anayo Jay Moe, alisema

“Naona watu wanacho jaribu kukitafuta saivi ni kitu kipya , Solo nipo naye karibu lakini badala solo ashiriki nyimbo na mimi nitamshauri afanye  na Godzilla, afanye na billnass. Kwa sababu naona kabisa kwamba...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZAIDI ZA MKALI WA BONGO FLEVA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOPOKELEWA BONGO, SASA KUPELEKA TUZO DAR LIVE

Diamond akiongea na mashabiki wake baada ya kuwasili jijini Dar. Msafara wa Diamond kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.…

 

9 years ago

Bongo5

Jay Moe ataja sababu ya kuchelewa kuoa

Jaymoe

Jay Moe amesema bado hajapata mke mwema atakayeendana na ndoto zake.

Jaymoe

Jay Moe alisema hadi sasa bado hana mchumba.

“Bado napambana na kuangalia nani ambaye anaweza kwenda na ndoto zangu sio ilimradi tu nimeoa halafu watu waanze kuongea niliachana na yule! Ndio maana najaribu kuwa makini kupita njia ambazo zitakuwa sahihi kwangu,” alisema.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Music: Jay Moe Ft Deddy – Hili Game

jay Mo

Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe baada ya kimya karudi na wimbo mpya unaitwa “Hili Game”, Amemshirikisha Deddy Producer P-Funk Majani ndani ya studio za Bongo Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Mimi ni mkali ila sina zali tu – Jay Moe

Jaymoe

Ni muda mrefu tulikua hatujamskia Jay Moe, yule yule wa ‘Mvua na Jua’, yule yule wa ‘Kama unataka demu’, yule yule wa ‘Kimya Kimya’ na marehemu Ngwea, au kwa utambulisho wowote unaoufahamu wewe lakini ninayemzungumzia mimi ni Juma mchopanga.

Jaymoe

Jamaa amerudi na wimbo mpya ‘Hili Game’, kama alivyoahidi siku chache zilizopita kua anavunja ukimya wa miaka minne kabla mwaka haujaisha. Ametambulisha wimbo huo Jumatatu hii Dec 7.

Wote tunafahamu ugumu wa game ya muziki wa bongo, baadhi ya...

 

9 years ago

Bongo5

Jay Moe kuachia ‘Hili Game’ Ijumaa hii

Jaymoe

Jay Moe ataachia wimbo mpya uitwao ‘Hili Game.’ Huo utakuwa wimbo wa kwanza kuutoa tangu aachie wimbo miaka minne iliyopita.

Jaymoe

Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Jay Moe alisema wimbo huo umetayarishwa na P-Funk Majani.

“Mungu akipenda Ijumaa itakuwa birthday tunaweza tukaachia wimbo wangu wa kwanza Jay Mo baada ya miaka 4,” alisema.

“Wimbo unaitwa ‘Hili Game’ na utakuwa muda mzuri kwa sababu nimeelezea muziki ulipotokea mpaka ulipo sasa. Zamani ilivyokuwa na ugumu wake. Kwahiyo vitu kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani