Jay Moe ataja sababu ya kuchelewa kuoa
Jay Moe amesema bado hajapata mke mwema atakayeendana na ndoto zake.
Jay Moe alisema hadi sasa bado hana mchumba.
“Bado napambana na kuangalia nani ambaye anaweza kwenda na ndoto zangu sio ilimradi tu nimeoa halafu watu waanze kuongea niliachana na yule! Ndio maana najaribu kuwa makini kupita njia ambazo zitakuwa sahihi kwangu,” alisema.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo526 Nov
Vanessa Mdee ataja sababu za kuchelewa kuitoa album yake ‘Money Mondays’
Album ya Vanessa Mdee, ‘Money Mondays’ ni kama imekamilika tayari lakini muimbaji huyo amesema ameichelewesha kuitoa kwasababu anaitengenezea mkakati mzuri wa kuichia.
Vanessa ameiambia Bongo5 kuwa anaangalia njia sahihi ya kuitoa.
“Naichelewesha kuitoa sababu natafuta proper distribution plan,” amesema.
“Sitaki tu itoke halafu watu wakasikiliza halafu ikabakia hamna faida yoyote tuliyotengeneza. Nataka kutumia fursa kutengeneza album ambayo italeta utofauti kwenye utoaji wa album....
9 years ago
Bongo507 Dec
Music: Jay Moe Ft Deddy – Hili Game
Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe baada ya kimya karudi na wimbo mpya unaitwa “Hili Game”, Amemshirikisha Deddy Producer P-Funk Majani ndani ya studio za Bongo Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
GPL15 May
9 years ago
Bongo508 Dec
Mimi ni mkali ila sina zali tu – Jay Moe
Ni muda mrefu tulikua hatujamskia Jay Moe, yule yule wa ‘Mvua na Jua’, yule yule wa ‘Kama unataka demu’, yule yule wa ‘Kimya Kimya’ na marehemu Ngwea, au kwa utambulisho wowote unaoufahamu wewe lakini ninayemzungumzia mimi ni Juma mchopanga.
Jamaa amerudi na wimbo mpya ‘Hili Game’, kama alivyoahidi siku chache zilizopita kua anavunja ukimya wa miaka minne kabla mwaka haujaisha. Ametambulisha wimbo huo Jumatatu hii Dec 7.
Wote tunafahamu ugumu wa game ya muziki wa bongo, baadhi ya...
9 years ago
Bongo518 Nov
Hii ni kazi nyingine inayomuingiza mkwanja Jay Moe
Usipomsikia Jay Moe kwenye redio usidhani hayuko busy kutafuta mkwanja.
Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio, Jay Moe alisema anajihusisha na masuala ya ujenzi.
“Fursa ziko nyingi ukiwa mtu fulani mashuhuri kwahiyo unaweza ukapata nafasi nyingi na unaweza ukazichagamkia kupitia celebrity status,” alisema.
“Mimi najihusisha na masuala ya ujenzi, kuinvest kwenye ardhi zaidi, kwahiyo napata pesa kwaajili hiyo.”
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...
9 years ago
Bongo526 Nov
Jay Moe kuachia ‘Hili Game’ Ijumaa hii
Jay Moe ataachia wimbo mpya uitwao ‘Hili Game.’ Huo utakuwa wimbo wa kwanza kuutoa tangu aachie wimbo miaka minne iliyopita.
Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Jay Moe alisema wimbo huo umetayarishwa na P-Funk Majani.
“Mungu akipenda Ijumaa itakuwa birthday tunaweza tukaachia wimbo wangu wa kwanza Jay Mo baada ya miaka 4,” alisema.
“Wimbo unaitwa ‘Hili Game’ na utakuwa muda mzuri kwa sababu nimeelezea muziki ulipotokea mpaka ulipo sasa. Zamani ilivyokuwa na ugumu wake. Kwahiyo vitu kama...
9 years ago
Bongo501 Sep
Jay Moe mwalimu aliyenifundisha kurap Kiswahili ni Solo Thang
11 years ago
Michuzi16 Jul
Revisited And Re-Released: MwanaFA Feat.Jay Moe "IngeKuwa Vipi"
His lyrics and songs have inspired new words, idioms etc into the street and classroom dictionaries and thesauruses of Swahili. The grandness of his...
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
Alichosema Jay Moe kuhusu kutofanya collabo na wakongwe wa Bongo fleva
Mashabiki wengi hujiuliza inakuaje kwenye upande wa Bongo Fleva mastaa wakongwe katika game hii wanashindwa kufanya collaboration wao kwa wao , ugumu unakuwa wapi?? Je ni kwamba ladha ya muziki itapungua kutokana na wao kuwa wakongwe katika muziki?
Majibu yote anayo Jay Moe, alisema
“Naona watu wanacho jaribu kukitafuta saivi ni kitu kipya , Solo nipo naye karibu lakini badala solo ashiriki nyimbo na mimi nitamshauri afanye na Godzilla, afanye na billnass. Kwa sababu naona kabisa kwamba...