ETI KISA KWENDA UKAWA; WASANII WAMPONDA AUNT

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson Kisa na mkasa! Kama hujasikia ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amejikuta akila za uso kutoka kwa mastaa wenzake mara tu baada ya kutangaza kuwa yeye ni Timu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) akimuunga mkono mgombea wake wa urais, Edward Ngoyai Lowassa. Â ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1Nvo3RG ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Ukawa wamponda Sitta kumwachia mkewe jimbo
Elias Msuya,Tabora
MSAFARA wa mgombea mwenza wa urais kupitia Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, juzi uliingia katika Jimbo la Urambo mkoani Tabora, huku makada wa umoja huo wakimponda mbunge wa jimbo hilo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta, kwa kumwachia mkewe, Margaret Sitta kugombea jimbo hilo.
Sitta ambaye pia ni Waziri wa Uchukuzi, amekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa muda mrefu, huku mkewe akiwa mbunge wa viti maalumu.
Akizungumza wakati wa...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Eti Wema, Aunt wapatana!
Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi.
Na MWANDISHI WETU
KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla baada ya ugomvi wao wa muda mrefu.
Katika akaunti zao za mitandao ya kijamii, wawili hao walitupia picha wakiwa pamoja na furaha tele, baada ya hafla ya kukabidhiwa tuzo kwa wasanii zinazojulikana kama Nzumari Awards 2015, zilizofanyika Mombasa nchini Kenya,...
11 years ago
GPLETI AUNT LULU ALIA KUKOSA BWANA!
10 years ago
Bongo Movies18 Mar
Ubuyu: Wema Azua Timbwili Eti Kisa Ally Kiba!
Mrembo na Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kusababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva , Ally Kiba.
Kwa mujibu wa gazeti la Risasi Mchanganyiko, tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Triple A, jijini Arusha ambapo Wema alienda kwenye sherehe ya mmoja wa rafiki zake huku yeye akipewa ‘taito’ ya mgeni rasmi.
Chanzo cha gazeti hilo kilidokeza kuwa hivi karibuni, Kiba...
11 years ago
Michuzi09 Jul
MSIKILIZE MASANJA MKANDAMIZAJI ETI HATAMANI KWENDA MBINGUNI
10 years ago
GPL
WEMA, AUNT KIMENUKA KISA ZARI
11 years ago
GPL
AUNT ASHINDWA KUFUTURISHA, KISA KUUGUA
10 years ago
Bongo Movies06 May
Ubuyu:Wema, Aunt Kimenuka Kisa Zari
Gazeti la Risasi la leo limeripoti kuwa Mataa wa bongo movies ambao ni mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt ‘kuposti’ kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ iliyofanyika Mlimani City jijini Dar wikiendi iliyopita.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mastaa hao wa sinema za Kibongo, baada ya Aunt kuposti...
10 years ago
Bongo Movies20 May
Msala wa Aunt Ezekiel apewa Monalisa, Kisa Kufanana!
Kutoka Mtandaoni: Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel aliweka picha hiyo hapo mtandaoni akiwa na staa mwenzake, Monalisa nakuwauliza mashabiki kama wawili hao wanafanana huku akikumbushia msala mabao aliufanya yeye na kukamatwa Monalisa.
“Eti tumefanana???Nishawahi kukosa mm akakamatwa yy jaman!!! Mi sijui ww je?Mtag kama unajuana nae bac....!!!”- Aunty aliandika.
Monalisa Ajibu
Monalisa naye kamjibu Aunty kwa kuweka picha hiyo kwenye ukurasa wake na...