Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Eti Wema, Aunt wapatana!

IMG-20151214-WA0004Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi.

Na MWANDISHI WETU
KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla baada ya ugomvi wao wa muda mrefu.

Katika akaunti zao za mitandao ya kijamii, wawili hao walitupia picha wakiwa pamoja na furaha tele, baada ya hafla ya kukabidhiwa tuzo kwa wasanii zinazojulikana kama Nzumari Awards 2015, zilizofanyika Mombasa nchini Kenya,...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA, PENNY WAPATANA

HATIMAYE mastaa wawili wakubwa Bongo, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mtangazaji wa Redio EFM, Peniel Mungilwa ‘Penny’ wamepatana baada ya kuwa katika bifu kwa kipindi kirefu, chanzo kikiwa ni penzi la Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Wema Sepetu akiwa na shosti yake Peniel Mungilwa ‘Penny’. Habari za ndani zinaeleza kuwa wawili hao walipatanishwa na mdau mkubwa wa burudani,...

 

11 years ago

GPL

WEMA, KAJALA WAPATANA

Stori: Hamida Hassan AMA kweli kufa kufaana! Lile bifu zito lililokuwa likitokota kati ya wapendwa wawili, Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu na mwigizaji mwenzake wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja limekwisha kufuatia kukalishwa katika kikao cha siri  kilichofanyika kwenye msiba wa aliyekuwa mwogoza filamu mahiri nchini, marehemu George Otieno ‘Tyson’, Risasi Mchanganyiko limeinasa. Wema Isaac Sepetu na...

 

11 years ago

GPL

ETI AUNT LULU ALIA KUKOSA BWANA!

Na Hamida Hassan MKALI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa anasikitika kukosa bwana aliyeahidiwa na marehemu Amina Ngaluma. Muigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu ’. Akizungumza na paparazi wetu, Aunt Lulu alisema kabla marehemu Amina hajapatwa na mauti nchini Thailand, alimuahidi kumtafutia bwana nchini humo lakini mauti yalimkuta kabla hajamtimizia ahadi...

 

9 years ago

GPL

ETI KISA KWENDA UKAWA; WASANII WAMPONDA AUNT

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson Kisa na mkasa! Kama hujasikia ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amejikuta akila za uso kutoka kwa mastaa wenzake mara tu baada ya kutangaza kuwa yeye ni Timu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) akimuunga mkono mgombea wake wa urais, Edward Ngoyai Lowassa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1Nvo3RG ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Eti Wema Mrembo Kuliko Zari!

Imebainika kuwa maneno ‘gold digger’ katika ulimwengu wa fursa yanamaanisha kuwa ni mtu anayeona fursa na kuzitumia katika ‘kufaiti’ kupata mafanikio (utajiri) kwenye maisha.

Ndivyo alivyo mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye humwambii kitu linapokuja suala la kuona fursa na kuzifanyia kazi.

Pamoja na sifa hiyo iliyomfanya Zari kuwa mmoja wa mastaa matajiri Afrika Mashariki lakini kwa mujibu wa mashabiki waliomuona ‘laivu’...

 

10 years ago

GPL

PENNY, WEMA ETI WANA PROJECT

Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Wema  Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ ambao wote kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuona habari za mwenza wao huyo wa zamani akiwa na mpenziwe mpya, Zali zinapamba moto kila siku, wameibuka na kudai hawababaishwi nazo, kwani hivi sasa wameamua kuingia kazini kwa kufanya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubuyu: Wema Azua Timbwili Eti Kisa Ally Kiba!

Mrembo na Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kusababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva , Ally Kiba.

Kwa  mujibu wa gazeti la Risasi Mchanganyiko, tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Triple A, jijini Arusha ambapo Wema alienda kwenye sherehe ya mmoja wa rafiki zake huku yeye akipewa ‘taito’ ya mgeni rasmi.

Chanzo cha gazeti hilo kilidokeza kuwa hivi karibuni, Kiba...

 

10 years ago

GPL

AUNT: SITAMZIKA WEMA!

Musa mteja ‘Nikifa usije kunizika, ukifa sitakuzika’! Ni maneno makali sana kuyatamka kiasi kwamba, enzi za wahenga ilipotokea ndugu, marafiki au majirani wakaapishana kwa maneno hayo, walitafutwa wazee wenye hekima ili kuondoa laana hiyo. Msanii wa sinema Bongo movie Aunt Ezekiel Grayson. Sasa, hivi karibuni, baada ya kuvunjika kwa urafiki wa ‘kupika na kupakua’ kati ya mashostito wawili walio katika...

 

11 years ago

GPL

UCHAFU WA WEMA, AUNT

Na  Imelda Mtema
Uchafu! Picha za madiva wakubwa wa filamu Tanzania, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson zimebambwa na gazeti hili hivi karibuni wakiwa katika hali ya kimalavidavi licha ya kwamba, mmoja ni mke wa mtu, mwingine mchumba. Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu, ishu hiyo ilichukua nafasi maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam ambako Wema na Aunt wamepiga kambi kwa ajili ya filamu yao mpya ya Familia. Ilidaiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani