WEMA, KAJALA WAPATANA
![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9YhWdP-cr7wfUhw39Twj-dI*ziLlgKjytgOccaWavNOZtrNCVlUzgGUOSrJCEwUHH1peJg3TkxBDmxLetzMSJJrO/wema.jpg)
Stori: Hamida Hassan AMA kweli kufa kufaana! Lile bifu zito lililokuwa likitokota kati ya wapendwa wawili, Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu na mwigizaji mwenzake wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja limekwisha kufuatia kukalishwa katika kikao cha siri kilichofanyika kwenye msiba wa aliyekuwa mwogoza filamu mahiri nchini, marehemu George Otieno ‘Tyson’, Risasi Mchanganyiko limeinasa. Wema Isaac Sepetu na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e4QG9g3mWCfDzaHWKULPs4TRs6WtaBFrJgBzTTHwrvnsUtx0daYpJeCzPpBE7oC3WIshtlLuOvFaCcqg7sbBRvXdfHi*AGYz/wema.gif?width=650)
WEMA, PENNY WAPATANA
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Eti Wema, Aunt wapatana!
Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi.
Na MWANDISHI WETU
KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla baada ya ugomvi wao wa muda mrefu.
Katika akaunti zao za mitandao ya kijamii, wawili hao walitupia picha wakiwa pamoja na furaha tele, baada ya hafla ya kukabidhiwa tuzo kwa wasanii zinazojulikana kama Nzumari Awards 2015, zilizofanyika Mombasa nchini Kenya,...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVkonLUnMAkAxdnmmi1dopk3xglYly-KMLsv5Y5r2HYejIq7vE0NXTlgEgtpReW99Bj0-*478oCtxui2ykOJJwRe/WAJINGA.jpg)
WEMA, KAJALA LIVE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg1fKb5toJ8zsoF*CeQnpoaoh9ErvgKvUvH6U2mDjzIZCxmtk0p5BABjJFhUv2bMzH78c-t16WYWAG7qCvGof6b0/kajala.jpg)
KAJALA: WEMA MNAFIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WA*Dv5OWc2jOfcJhJpKwcdVhzKobfYN5uPXj9zXa-wg6ZnBKl6PbRIBS5rONpIGfsS7evb2DrvsO9EQpUuCF-pBLR*nNO*zW/kajala.jpg?width=650)
WEMA, KAJALA KIMENUKA