WEMA, PENNY WAPATANA

HATIMAYE mastaa wawili wakubwa Bongo, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mtangazaji wa Redio EFM, Peniel Mungilwa ‘Penny’ wamepatana baada ya kuwa katika bifu kwa kipindi kirefu, chanzo kikiwa ni penzi la Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Wema Sepetu akiwa na shosti yake Peniel Mungilwa ‘Penny’. Habari za ndani zinaeleza kuwa wawili hao walipatanishwa na mdau mkubwa wa burudani,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WEMA, KAJALA WAPATANA
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Eti Wema, Aunt wapatana!
Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi.
Na MWANDISHI WETU
KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla baada ya ugomvi wao wa muda mrefu.
Katika akaunti zao za mitandao ya kijamii, wawili hao walitupia picha wakiwa pamoja na furaha tele, baada ya hafla ya kukabidhiwa tuzo kwa wasanii zinazojulikana kama Nzumari Awards 2015, zilizofanyika Mombasa nchini Kenya,...
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
11 years ago
GPL
PENNY, WEMA WAKUMBANA STUDIO
10 years ago
GPL
PENNY, WEMA WAMKEJELI DIAMOND
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Wema,Penny Waingia ‘Chimbo’!
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ ambao wote kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuona habari za mwenza wao huyo wa zamani akiwa na mpenziwe mpya, Zarinah Hassan zinapamba moto kila siku, wameibuka na kudai hawababaishwi nazo, kwani hivi sasa wameamua kuingia kazini kwa kufanya bonge la project.
Akizungumza kwa niaba ya mwenzake, Penny alisema kelele za kila...
10 years ago
GPL
PENNY, WEMA ETI WANA PROJECT
11 years ago
GPL
RAMADHANI YAMALIZA BIFU LA WEMA, PENNY!