PENNY, WEMA WAMKEJELI DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7srtJq4yFC6vclZvdG9PccSnjyQUAc9T2Zez9GbNSDlC6tLAc56Xbx6*Wemfz0TRdCCMsjBV7g*kKirjypVl-GE/wema.jpg)
Stori: Imelda Mtema Mastaa wawili hapa Bongo ambao huko nyuma walikuwa katika bifu kali, Wema Sepetu na Penny Mwingilwa wameonekana kumkejeli aliyekuwa mpenzi wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutumia neno Project. Staa wa bongo Penny Mwingilwa, 'penny'. Mastaa hao walionekana wameweka picha yao wakiwa pamoja wamejilaza chini nyumbani kwa Wema na kuandika kuwa wakiwa katika Project yao neno ambalo lilitumiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2P5YMZ14eu4bcDXUJTfRrnXfEHemNoRbTDhJlqrOZtl1SJwTp3hDa6i9gv2VrKCtMJqau5f5lyzb3Sg4f*siY-N/diamond.jpg?width=650)
WEMA, PENNY WAIPASUA FAMILIA YA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LtkxTnXYTeUq3v4iLorQH6Q*itGxT9FX2mLdHSQrRmgFXHYID4pjwQzSLC6-5BqhFEpfVaQUDoJHumixMvWsyxO/FRONT.jpg?width=650)
DIAMOND: WEMA, JOKATE, PENNY WALIGOMA KUNIZALIA
10 years ago
Bongo Movies18 Dec
DIAMOND:Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi
Akizungumza kwenye kipindi cha Live Chumba cha Habari kinachorushwa na Global TV online, Msanii wa muziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alieleza jinsi wapenzi wake wazamani ambao ni Mwigizaji Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na matangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Diamond alifunguka baada ya kuulizwa kwamba amekuwa akitangaza kupenda watoto lakini kwa nini hana hata wa dawa licha ya kuwa na uhusiano na wanawake tofoutitofauti.
Diamond: “Ni kweli napenda watoto lakini siwezi kupata mtoto...
10 years ago
Michuzi22 Dec
10 years ago
Vijimambo28 Nov
10 years ago
Vijimambo24 Dec
DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI, ACHAMBUA UBOVU WA WEMA, PENNY NA JOKATE
![](http://api.ning.com/files/BybgAqvu3OnnTpxUvjp2wQpPb9wrnW0FkthLue3yshTOidJli16V4T5N7Kf0h69qzGS4dpJLITqItRlnYOJCkca9i3FYLzYH/diamondzari.jpg?width=650)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/057dS8YV7Hw/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies14 Jan
Baada ya kushindwa kuzaa na Wema na Penny. Hatimaye Diamond 'ampa' ujauzito Zari
Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa, HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake maarufu wa zamani.
USHAHIDI WA...