Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA, PENNY WAIPASUA FAMILIA YA DIAMOND

Stori: GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH BOOOM! Katika hali ya kushangaza, mastaa wawili Bongo, mwigizaji Wema Isaac Sepetu na mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wanadaiwa kuipasua familia ya kinara wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili. Wema akiwa na Diamond Platinum. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu na familia hiyo kuna...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PENNY, WEMA WAMKEJELI DIAMOND

Stori: Imelda Mtema Mastaa wawili hapa Bongo ambao huko nyuma walikuwa katika bifu kali, Wema Sepetu na Penny Mwingilwa wameonekana kumkejeli aliyekuwa mpenzi wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutumia neno Project. Staa wa bongo Penny Mwingilwa,  'penny'. Mastaa hao walionekana wameweka picha yao wakiwa pamoja wamejilaza chini nyumbani kwa Wema  na kuandika kuwa wakiwa katika Project yao neno ambalo lilitumiwa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND: WEMA, JOKATE, PENNY WALIGOMA KUNIZALIA

Stori: Waandishi Wetu
KWA mara ya kwanza ndani ya Global TV Online ya Global Publishers, supastaa ndani na nje ya Bongo kutoka muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewafungukia waliowahi kuwa wapenzi wake, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, Wema Sepetu ‘Madam’ na Penniel Mungilwa ‘Penny’ kuwa waligoma kumzalia mtoto. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond...

 

10 years ago

Bongo Movies

DIAMOND:Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi

Akizungumza kwenye kipindi cha Live Chumba cha Habari kinachorushwa na Global TV online, Msanii wa muziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alieleza jinsi wapenzi wake wazamani ambao ni Mwigizaji Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na matangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.

Diamond alifunguka baada ya kuulizwa kwamba amekuwa akitangaza kupenda watoto lakini kwa nini hana hata wa dawa licha ya kuwa na uhusiano  na wanawake tofoutitofauti.

Diamond: “Ni kweli napenda watoto lakini siwezi kupata mtoto...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya kushindwa kuzaa na Wema na Penny. Hatimaye Diamond 'ampa' ujauzito Zari

Baada ya sokosoko kuu la kwanini?? muda wote huu kijana Nassib Abdul – Diamond Platnumz pamoja na list yake ndeeeefu ya mabinti wa bongomovies aliowahi kutembea nao hajawahi kuwa hata na mtoto wa kusingiziwa, HATIMAYE jana kupitia kwenye nyezo za kiteknolojia tumeweza kudokezwa juu ya ujauzito alionao mwanadada ZARI ambao ni fika utakuwa wa kijana huyu anayetamba na wimbo wa “Nitampata wapi” ambao wachunguziwa mambo wanadai ETi ni dedication kwa mpenzi wake maarufu wa zamani.

 

USHAHIDI WA...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AANIKA SABABU 5 ZA KUMPENDA ZARI, ACHAMBUA UBOVU WA WEMA, PENNY NA JOKATE

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mwanamama anayekimbiza Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady.Mapenzi bhana! Baada ya kutoka kimalavu na kumwagana na mwanadada mwenye mvuto Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kisha kuangukia kwenye ‘utamu’ wa penzi la mwanamama anayekimbiza Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameamua kuanika siri tano za kilichomvutia kwa staa huyo gumzo Afrika Mashariki.Akizungumza katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani