RAMADHANI YAMALIZA BIFU LA WEMA, PENNY!
![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkw9j-f9sOL44DBrLLrjkZUDQaVt7VAyZ*1G9sc89rc98cD1lMMHOYC1QLBnVh9r9j069daIJlZuABAfF89qLUnY/pennywema.jpg)
Stori: Waandishi Wetu STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Wema alisema: “Kwa moyo mweupe, nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWTu-d304okcfzNrUMxp8uWYfqt7tEk869BF2k0m5it-3qFz1nqR57l34PLHq*c5TIoo81AqhCuN5Gp0UXX3y8s-/penny.jpg)
PENNY: MSINISHANGAE KUFUNGA RAMADHANI
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e4QG9g3mWCfDzaHWKULPs4TRs6WtaBFrJgBzTTHwrvnsUtx0daYpJeCzPpBE7oC3WIshtlLuOvFaCcqg7sbBRvXdfHi*AGYz/wema.gif?width=650)
WEMA, PENNY WAPATANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0thuQTAzTgk69xLT1u43cmYYnDNLmuWjDh6I9yCgv5UR8xaIVNZac5xvQG5V5gvr9Uke*3T9kVZunGgsi2W1EDFh/mboto.jpg)
MBOTO: BIFU NA WEMA? NAANZAJE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AzPPilGI70MCiFjAgg8CN9ydbEsj9HxFLPqZPyZ-JQKEzlI7foPgoO9kYzQNl14Ha5SiDsrJTuOBWo78AttAlvQ/BACKRISASI.gif?width=650)
WEMA, AUNT BIFU UPYA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*eqn**7F7IRqwr7vHFTWAk-z7nyyz9P9t6uEXQS24shtR1DRNrcd9ZoUFkDSDG5wDdBg00WsTHrnQBc3kkSjPq/wema.jpg)
WEMA, KAJALA BIFU UPYA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wX4*Xmv4LzpUIz53iMl6aTO0JGjoOFrTSkAl7insm1-TaZzLmV9r-pknZSPjRIYLqo1DLfqk5GIMEIfourZ9Ygn/wema.jpg?width=650)
PENNY, WEMA WAKUMBANA STUDIO
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Wema,Penny Waingia ‘Chimbo’!
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ ambao wote kwa nyakati tofauti wamewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuona habari za mwenza wao huyo wa zamani akiwa na mpenziwe mpya, Zarinah Hassan zinapamba moto kila siku, wameibuka na kudai hawababaishwi nazo, kwani hivi sasa wameamua kuingia kazini kwa kufanya bonge la project.
Akizungumza kwa niaba ya mwenzake, Penny alisema kelele za kila...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7srtJq4yFC6vclZvdG9PccSnjyQUAc9T2Zez9GbNSDlC6tLAc56Xbx6*Wemfz0TRdCCMsjBV7g*kKirjypVl-GE/wema.jpg)
PENNY, WEMA WAMKEJELI DIAMOND