Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENNY: MSINISHANGAE KUFUNGA RAMADHANI

Na Deogratius Mongela MMTANGAZAJI wa Redio  EFM aliyewahi kuanguka kimahaba na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amewafungukia wanaomshangaa kuhusu kufunga mwezi wa Ramadhani na kuwataka watu hao wasimshangae kuhusiana na jambo hilo. Mtangazaji wa Redio  EFM,Penniel Mungilwa ‘Penny’a Akifafanua ishu hiyo mbele ya mwandishi wetu, staa huyo alisema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAMADHANI YAMALIZA BIFU LA WEMA, PENNY!

Stori: Waandishi Wetu STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Wema alisema: “Kwa moyo mweupe, nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote...

 

10 years ago

BBCSwahili

Umuhimu wa watoto kufunga Ramadhani

familia za Kiislamu huona upo umuhimu kufundisha Watoto maadili ya dini

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

11 years ago

GPL

VJ PENNY AJIACHIA INSTAGRAM

Aliekuwa mpenzi wa Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' mtangazaji na meneja wa vipindi wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mwingila aka VJ Penny akiwa katika pozi kwenye picha alizotupia kwenye mtandao wa…

 

11 years ago

GPL

DIAMOND,PENNY WAMWAGANA!

Stori: shakoor jongo na mayasa mariwata
NDIYO habari ya ‘mujini’ kwa sasa, kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, mtangazaji wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wamemwagana, Risasi Jumamosi limemwagiwa upupu.
...

 

10 years ago

GPL

PENNY AKUMBWA NA MAUZUZA!

Na Imelda Mtema Prizenta wa Kituo cha Radio E-FM cha jijini Dar, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ anadaiwa kukumbwa na mauzauza yaliyodaiwa ni mapepo na kujikuta akipiga makelele barabarani. Prizenta wa Kituo cha Radio E-FM cha jijini Dar, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’. Habari kutoka kwa shuhuda wetu zilidai kwamba, ishu hiyo ilijiri maeneo ya Makongo jijini Dar es Salaam, juzikati wakati staa huyo akielekea...

 

10 years ago

GPL

WEMA, PENNY WAPATANA

HATIMAYE mastaa wawili wakubwa Bongo, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mtangazaji wa Redio EFM, Peniel Mungilwa ‘Penny’ wamepatana baada ya kuwa katika bifu kwa kipindi kirefu, chanzo kikiwa ni penzi la Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Wema Sepetu akiwa na shosti yake Peniel Mungilwa ‘Penny’. Habari za ndani zinaeleza kuwa wawili hao walipatanishwa na mdau mkubwa wa burudani,...

 

11 years ago

GPL

PENNY: NIMECHUNGULIA KABURI

MTANGAZAJI wa maarufu wa runinga Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa ugonjwa uliompiga juzikati ulikuwa ‘serious’ kiasi cha kuona ni Mungu tu amemwokoa. Mtangazaji wa maarufu wa runinga Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’ akiwa hoi hospitali akisumbuliwa na ugonjwa wa Athma. Akichezesha taya na paparazi wetu, Penny alisema anamshukuru Mungu anaendelea vizuri kwani alikuwa na hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani