MBOTO: BIFU NA WEMA? NAANZAJE!
![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0thuQTAzTgk69xLT1u43cmYYnDNLmuWjDh6I9yCgv5UR8xaIVNZac5xvQG5V5gvr9Uke*3T9kVZunGgsi2W1EDFh/mboto.jpg)
Stori: Maria Halimoja na Rhoda Josiah BIFU? Komediani Haji Salum ‘Mboto’ amekanusha vikali kuwa na bifu na Wema Sepetu baada ya tetesi za chinichini kuvuma kwamba wapo kwenye bifu zito. Staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu akipozi. Akijibu tuhuma hizo, Mboto alisema kuwa haoni sababu ya kuwa na bifu na Wema zaidi ya kushirikiana naye katika kazi na hivi karibuni amempa kazi ya kumuandikia stori na makubaliano yao...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*eqn**7F7IRqwr7vHFTWAk-z7nyyz9P9t6uEXQS24shtR1DRNrcd9ZoUFkDSDG5wDdBg00WsTHrnQBc3kkSjPq/wema.jpg)
WEMA, KAJALA BIFU UPYA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AzPPilGI70MCiFjAgg8CN9ydbEsj9HxFLPqZPyZ-JQKEzlI7foPgoO9kYzQNl14Ha5SiDsrJTuOBWo78AttAlvQ/BACKRISASI.gif?width=650)
WEMA, AUNT BIFU UPYA!
10 years ago
Bongo Movies03 Mar
Mapenzi Yamerogwa: Wema Sepetu Pale Kati.....Akitaka Kutolewa Roho na Mboto!
Filamu mpya inayokwenda kwa jina la Mapenzi Yamerogwa, iliyowajumuisha waigizaji wakali kama Wema Sepetu, Mboto, Hemmed PHD, Riyama na Aunty Ezekiel inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 23 mwezi huu.
“Mapenzi Yamerogwa pale kati Wema Sepetu na mustach wake mpnz Fontana akitaka kutolewa roho na Mboto aliyechoshwa na ahadi za Hemmed aliyezidiwa na mapenzi ya Faudhia aliyefundwa unyagoni na Riyama nahitaji support yenu...kazi hii itakuwa sokoni kuanzia tarehe 23 mwezi huu....tukisambaza wenyewe...
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Bifu la Wema na Kajala Laibuka Upya!
Bifu la kati ya waigizaji marafiki wa zamani Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘Kay’ inadaiwa kuwa limeibuka tena upya mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Madam kuanika ubaya aliotendewa na Kajala aliyewahi kumlipia faini ya shilingi milioni 13 na kumuepusha na kifungo cha miaka 7 jela, Machi 25, 2013, kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na kituo cha televisheni cha EATV.
Wafuasi na mashabiki wa Kajala hawakufurahishwa na maneno ya Wema ambayo walidai yalikuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkw9j-f9sOL44DBrLLrjkZUDQaVt7VAyZ*1G9sc89rc98cD1lMMHOYC1QLBnVh9r9j069daIJlZuABAfF89qLUnY/pennywema.jpg)
RAMADHANI YAMALIZA BIFU LA WEMA, PENNY!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdOGWIk99rz1KHZEVFmQrtGzESqASomuUaMLrfr7XDU2lE5KbQqSWoDHsxYbpUzKXLZ0m1XyKh0zN0BwjWLW4BDM/kajala.jpg?width=650)
KAJALA AWEKA KANDO BIFU LAKE NA WEMA
10 years ago
GPLAUNT ANENA MAZITO BIFU LA KAJALA, WEMA
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Aunt Ezekiel Aongea Mazito Bifu la Kajala, Wema
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.
Akizungumza na gazeti na gazeti la Ijumaa Wikienda, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.
“Jamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJD*oNmDWICP6rsjfxdjThp7t6nOVaAa5oGFBQEqGMk-SMisDEzseEPVB2sOVLWZ-LSRUw*Zu-iYER6LKqjNWPCF/SNURA.jpg?width=650)
SNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA