Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapenzi Yamerogwa: Wema Sepetu Pale Kati.....Akitaka Kutolewa Roho na Mboto!

Filamu mpya inayokwenda kwa jina la Mapenzi Yamerogwa, iliyowajumuisha waigizaji  wakali kama Wema Sepetu, Mboto, Hemmed PHD, Riyama na Aunty Ezekiel inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 23 mwezi huu.

“Mapenzi Yamerogwa pale kati Wema Sepetu na mustach wake mpnz Fontana akitaka kutolewa roho na Mboto aliyechoshwa na ahadi za Hemmed aliyezidiwa na mapenzi ya Faudhia aliyefundwa unyagoni na Riyama nahitaji support yenu...kazi hii itakuwa sokoni kuanzia tarehe 23 mwezi huu....tukisambaza wenyewe...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mapenzi Yamerogwa ya Wema Sepetu na Wakali Wenzake Imekufikia

Tujiunge na waandaaji wa filamu hiyo;

Kata kiu yako kwa kununua nakala halisi ya movie ya MAPENZI YAMEROGWA iko madukani kote Tanzania nzima....unataka kuona ubabe wa Mboto ulivyomtoa jasho wema sepetu??unataka kuona casting director  Aunty Ezekile alivyofanikisha kazi yake??basi usichoke kuangalia mirindimo ya  Riyama na Faudhia walivyomtoa ndani Hemedy PHD bila kuaga baada ya kumfukuza mkewe fontana.....utakipenda kipondo alichopewa Fontana na  Wema Sepetu akishirikiana na mumewe Treze ni...

 

10 years ago

GPL

WEMA, HEMEDY KUTOA ‘MAPENZI YAMEROGWA’ KARIBUNI

Waigizaji Wema, Hemed, Neema na wengine wakiwa katika harakati za kurekodi filamu hiyo. MWIGIZAJI Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na mtanashati wa Bongo Movies, Hemed Suleiman ‘PhD’ wamekutana katika kushuti muvi moja inayokwenda kwa jina la ‘MAPENZI YAMEROGWA’, kazi ambayo inaendelea kwa umakini katika maeneo ya Kinondoni… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale: Hii ndiyo Mistari ya Nuh Mziwanda Alipokuwa Anamtongoza Wema Sepetu, Utavunja Mbavu

Kwa jinsi teknolojia ilivyokua watu wanapaswa kuwa makini sana kwa simu wanazopiga na maneno wanayoongea

Nuh Mziwanda amejikuta akiumbuka vibaya baada ya Wema Sepetu kuvujisha sauti anayosikika akimtongoza mrembo huyo. Mazungumzo hayo yanachekesha sana hasa kutokana na mistari anayompa Miss Tanzania huyo wa zamani. Haya ni maongezi yaliyofanyika mwezi June (siku moja kabla ya KTMA 2015). Tunafahamu wapo wasioweza kusikiliza clip yote hivyo tumekuandikia mazungumzo hayo.

Nuh Mziwanda: Kuna...

 

11 years ago

Bongo Movies

Mtunisi Awachana "LIVE" Diamond na Wema Sepetu kwa kuendekeza ‘mapenzi’ wakati wa mwezi mtukufu.

Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa filamu(wema) kufutarisha nyumbani kwake na kumkaribisha harawa yake(Diamond) pamoja na mama mkwe wake(haijulikani mkwewe kwa nani na kwa ndoa ipi) bi sanura kitendo ambacho mtunisi amekiona ni kinyume na dini yao hiyo ya kiislamu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mapenzi sio pesa, roho inatosha

Mapenzi yamtoa msichana wa kihindi katika familia ya kitajiri na kumpeleka kijijini kwa kijana mwafrika Kenya

 

11 years ago

GPL

MBOTO: BIFU NA WEMA? NAANZAJE!

Stori: Maria Halimoja na Rhoda Josiah BIFU? Komediani Haji Salum ‘Mboto’ amekanusha vikali kuwa na bifu na Wema Sepetu baada ya tetesi za chinichini kuvuma kwamba wapo kwenye bifu zito. Staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu akipozi. Akijibu tuhuma hizo, Mboto alisema kuwa haoni sababu ya kuwa na bifu na Wema zaidi ya kushirikiana naye katika kazi na hivi karibuni amempa kazi ya kumuandikia stori na makubaliano yao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani