WEMA, HEMEDY KUTOA ‘MAPENZI YAMEROGWA’ KARIBUNI
Waigizaji Wema, Hemed, Neema na wengine wakiwa katika harakati za kurekodi filamu hiyo. MWIGIZAJI Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na mtanashati wa Bongo Movies, Hemed Suleiman ‘PhD’ wamekutana katika kushuti muvi moja inayokwenda kwa jina la ‘MAPENZI YAMEROGWA’, kazi ambayo inaendelea kwa umakini katika maeneo ya Kinondoni… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies08 Jun
Mapenzi Yamerogwa ya Wema Sepetu na Wakali Wenzake Imekufikia
Tujiunge na waandaaji wa filamu hiyo;
Kata kiu yako kwa kununua nakala halisi ya movie ya MAPENZI YAMEROGWA iko madukani kote Tanzania nzima....unataka kuona ubabe wa Mboto ulivyomtoa jasho wema sepetu??unataka kuona casting director Aunty Ezekile alivyofanikisha kazi yake??basi usichoke kuangalia mirindimo ya Riyama na Faudhia walivyomtoa ndani Hemedy PHD bila kuaga baada ya kumfukuza mkewe fontana.....utakipenda kipondo alichopewa Fontana na Wema Sepetu akishirikiana na mumewe Treze ni...
10 years ago
Bongo Movies03 Mar
Mapenzi Yamerogwa: Wema Sepetu Pale Kati.....Akitaka Kutolewa Roho na Mboto!
Filamu mpya inayokwenda kwa jina la Mapenzi Yamerogwa, iliyowajumuisha waigizaji wakali kama Wema Sepetu, Mboto, Hemmed PHD, Riyama na Aunty Ezekiel inatarajiwa kuingia sokoni tarehe 23 mwezi huu.
“Mapenzi Yamerogwa pale kati Wema Sepetu na mustach wake mpnz Fontana akitaka kutolewa roho na Mboto aliyechoshwa na ahadi za Hemmed aliyezidiwa na mapenzi ya Faudhia aliyefundwa unyagoni na Riyama nahitaji support yenu...kazi hii itakuwa sokoni kuanzia tarehe 23 mwezi huu....tukisambaza wenyewe...
9 years ago
Bongo529 Sep
Hemedy PHD: Ningependa wasanii tusaidie kutoa elimu ya upigaji kura kuliko kushabikia vyama
10 years ago
Bongo Movies23 May
Wema Sepetu, Ray , Hemedy PHD Wanyakua Tuzo Za ‘Tuzo Za Watu2015’
Mastaa wa Bongo Movies, Wema Sepetu, Vicent Kugosi ‘Ray’ na Hemmedy PHD wameshinda tuzo za TUZO ZA WATU za mwaka huu zilizofanyika usiku wa jana.
Wema sepetu ameshinda tuzo ya muigizaji wa kike anayependwa wakati Ray ameshinda tuzo ya muongozaji wa filamu anayependwa huku Hemmed PHD ameibuka mshindi wa wa tuzo ya muigizaji wakiume anayependwa na filamu ya Kigodoro imeibuka kuwa ni filamu inayopendwa.
Hongereni sana washindi wote.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqLi-Q3AeRydkPLzLzeq-9MUPqRJS6KtfA3iDcXlVYg1rU6K6jFmkDNWCY33FUsazf3SET5N7Cl93B9CMWSIVwsO/wema.jpg)
MAPENZI: WEMA NA BABA, DIAMOND NA MAMA
10 years ago
Bongo Movies24 May
Mapenzi Yampa Ulaji Wema ‘Chungu cha 3’
Muigizaji na Muongozaji mkongwe wa bongo movies, Jacob Stephen ‘jb, amesema aliamua kumpa uchezajui mkuu wa filamu yake ya CHUNGU CHA TATU staa mrembo Wema Sepetu kutokana na umahiri wa masanii huyu kwas sababu amemudu sana sehemu za nmapenzi.
Aidha, Jb alisema Wema huwa makini katika uigizaji wa nafasi yake anayopangiwa na pia ni mwepesi wa kukubali kuwekwa katika kila sehemu atakayoambiwa acheze.
Watu watarajie mambo mazuri kutoka katika filamu ya chungu cha tatu ambayo itakuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qmsUgHzH5lME*7nOTdCSuu2hnn9OMAJ7AiOpd3xB6Dl5elXcd-ao8khxORREVYheuWP6p*-A7YC42RAym7tFWBNFRrEzIqWv/Kajalaa.jpg?width=650)
SMS ZA MAPENZI ZA KAJALA NA BWANA ALIYEKUWA WA WEMA ZANASWA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/0YXs-Z7sAcc/default.jpg)
11 years ago
Bongo525 Jul
Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi