Hemedy PHD: Ningependa wasanii tusaidie kutoa elimu ya upigaji kura kuliko kushabikia vyama
Hemedy PHD amedai hajajifunga na chama chochote cha siasa kama ilivyo kwa wasanii wengi na kwamba jambo la muhimu zaidi ambalo anaamini wangefanya ni kusaidia kueneza elimu ya upigaji kura. Hemedy ameiambia Bongo5 kuwa wananchi wengi hawana elimu hiyo na hapendi kuona limefumbiwa macho. “Wenye haki ya kupiga kura tayari ni wengi, wengi wamekua na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-kF3RjTpaWHk/VMi77YNMiyI/AAAAAAAG_3U/GNWv7iy9tn4/s72-c/1..jpg)
WASANII WATAKIWA KUTOA ELIMU YA UPIGAJI KURA
Wasanii nchini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ili watambue umuhimu wa kupiga kura na kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza wakati akichangia mada kuhusu Umuhimu wa Jamii kupiga kura kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika makao makuu ya BASATA Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.
“Kama taifa tunazungukwa na matukio mengi...
11 years ago
Mwananchi27 Jun
CBE, Finland kutoa PhD ya elimu na elimu mazingira
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Wasanii wahimizwa kupaza sauti upigaji wa kura
NA ASIFIWE GEORGE
MSANII kutoka kundi la Weusi, Nickson Saimon (Niki wa Pili), mwanasiasa Chikulupi Kasaka, mjasiriamali Modesta Mahinga na Mbunge Steven Masele wameshiriki katika mdahalo wa vijana uliojadili mambo mbalimbali wanayotaka yafanyike katika uchaguzi mkuu wa Tanzania Oktoba, mwaka huu.
Mdahalo huo umeandaliwa na taasisi ya Tanzania Bora Initiative, ikiwa na lengo la kuweka msimamo kwa vijana katika uchaguzi utakaoweza kusaidia kushiriki kikamilifu katika hatua zote za uchaguzi na...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA MASOKO, NEC, OSIEA PAMOJA NA WASANII WAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA UPIGAJI KURA
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Elimu ya uraia na upigaji kura haipaswi kuwa na utashi wa kisiasa wala upendeleo
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa shirika la kimataifa la sayansi, elimu na utamaduni (UNESCO) Bwana Al Amin Yusuph akielezea madhumuni ya warsha ya wadau wa mradi wa uchaguzi 2015 unaolenga kuboresha demokrasia amani nchini katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ujao, unaofadhiliwa na Shirika La Kimataifa la Maendeleo (UNDP) ulioenda sambamba na mkutano wa tano wa Mtandao wa vyombo vya habari vya Kijamii nchini (COMNETA).
Na Mwandishi wetu
Uchaguzi huru na wa haki...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC_01241.jpg)
ELIMU YA URAIA NA UPIGAJI KURA HAIPASWI KUWA NA UTASHI WA KISIASA WALA UPENDELEO
9 years ago
Bongo508 Oct
Music: Hemedy PHD — Memories