Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WATAKIWA KUTOA ELIMU YA UPIGAJI KURA

Na Mwandishi Wetu
Wasanii nchini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ili watambue umuhimu wa kupiga kura na kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka.
Wito huo umetolewa mapema wiki hii na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa  (BASATA) Godfrey Mngereza wakati akichangia mada kuhusu Umuhimu wa Jamii kupiga kura kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika makao makuu ya BASATA Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.
“Kama taifa tunazungukwa na matukio mengi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hemedy PHD: Ningependa wasanii tusaidie kutoa elimu ya upigaji kura kuliko kushabikia vyama

Hemedy PHD amedai hajajifunga na chama chochote cha siasa kama ilivyo kwa wasanii wengi na kwamba jambo la muhimu zaidi ambalo anaamini wangefanya ni kusaidia kueneza elimu ya upigaji kura. Hemedy ameiambia Bongo5 kuwa wananchi wengi hawana elimu hiyo na hapendi kuona limefumbiwa macho. “Wenye haki ya kupiga kura tayari ni wengi, wengi wamekua na […]

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii wahimizwa kupaza sauti upigaji wa kura

msnsaii nikipNA ASIFIWE GEORGE

MSANII kutoka kundi la Weusi, Nickson Saimon (Niki wa Pili), mwanasiasa Chikulupi Kasaka, mjasiriamali Modesta Mahinga na Mbunge Steven Masele wameshiriki katika mdahalo wa vijana uliojadili mambo mbalimbali wanayotaka yafanyike katika uchaguzi mkuu wa Tanzania Oktoba, mwaka huu.

Mdahalo huo umeandaliwa na taasisi ya Tanzania Bora Initiative, ikiwa na lengo la kuweka msimamo kwa vijana katika uchaguzi utakaoweza kusaidia kushiriki kikamilifu katika hatua zote za uchaguzi na...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA MASOKO, NEC, OSIEA PAMOJA NA WASANII WAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA UPIGAJI KURA

 Mmoja wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Masoko inayojihusisha na masuala ya mawasiliano na masoko, Conctantine Magavila (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya kuhamasisha vijana kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura na hatimaye kupiga kura ilijulikanayo kama 'Kuradili". Kampuni hiyo itafanya kampeni hiyo katika mikoa kadhaa kwa kushiriakiana na  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Shirika la Open...

 

10 years ago

Dewji Blog

Elimu ya uraia na upigaji kura haipaswi kuwa na utashi wa kisiasa wala upendeleo

DSC_0087

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa shirika la kimataifa la sayansi, elimu na utamaduni (UNESCO) Bwana Al Amin Yusuph akielezea madhumuni ya warsha ya wadau wa mradi wa uchaguzi 2015 unaolenga kuboresha demokrasia amani nchini katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ujao, unaofadhiliwa na Shirika La Kimataifa la Maendeleo (UNDP) ulioenda sambamba na mkutano wa tano wa Mtandao wa vyombo vya habari vya Kijamii nchini (COMNETA).

Na Mwandishi wetu

Uchaguzi huru na wa haki...

 

10 years ago

GPL

ELIMU YA URAIA NA UPIGAJI KURA HAIPASWI KUWA NA UTASHI WA KISIASA WALA UPENDELEO‏

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo (UNDP) Godfrey Mulisa akisoma risala ya ufunguzi wa warsha hiyo kwa niaba ya Philippe Poinsot inayoendelea kwenye ukumbi wa mikutano ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma. Afisa Miradi ya…

 

10 years ago

Habarileo

Maofisa habari watakiwa kutoa elimu kuhusu DART

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umetaka maofisa habari na mawasiliano wa taasisi zinazoguswa moja kwa moja na mradi huo, kusaidia kutoa elimu na taarifa sahihi kwa wananchi juu ya uendeshaji na usimamizi wake.

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA USTAWI NA MAENDELEO YA JAMII WATAKIWA KUTOA ELIMU KWA YA KUJIKINGA NA CORONA


Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw. Hargeney Chituturo akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona Maafisa Ustawi na Maendeleo ya Jamii wa Mkoa wa Arusha, katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha jana tarehe 28/03/2020.
Maafisa Ustawi na Maendeleo ya Jamii wa Mkoa wa Arusha wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona katika ukumbi wa Mikutano...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura Kariakoo kuhusu upigaji kura

Wapiga kura Tanzania walifika vituoni mapema kupiga kura kuwachagua viongozi wapya. Wanamchagua rais mpya, wabunge na madiwani. Mwandishi wa BBC Bashkas Jugsodaay alizungumza na baadhi yao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani